
Nitafanyaje
1 mionekano
(This is Hendrick Sam)
[Chorus]
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Ukiniwacha
Ni mi n'ta bant wa kwanza
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Tukiwachana
Ni mi n'ta bant wa kwanza
[Verse 1]
Wajameni
Aki ya nani kimeniramba
Wameniibia msichana
Wanaume kadha wa kadhaa
Wamejazana ndani ya DM
Sijui ni nini ilinifanya
Nikasoma hizo ma text
Na vile nakuanga nimemuaminianga
I don't ever wanna love again
Inauma, inauma
Hizo ma picha ulituma
Kwa simu nilinununa
Za mbele na nyuma
Inauma, inauma
Hizo ma picha ulituma
Kwa simu nilinununa
Hadi mpaka za ku..
[Chorus]
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Ukiniwacha
Ni mi n'ta bant wa kwanza
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Tukiwachana
Ni mi n'ta bant wa kwanza
[Verse 2]
You see stress inanipiga
Bila we sina
Nguvu za kiume sina ata energy
Na kama hii ni test usiwahi ni pima
Please niambie before I erase memories
Taking a walk siezi stop nakuwaza Ma
Uliniblock na ni wewe ulinkosea
Situation is rocky, Abebi na
And you know how your love iliniingia
Moyo hadi maini
Ahh nikupate wapi?
Nifanye nini?
Ama nili laaniwa?
Mapenzi inakuja ikienda
Naskia ushampata mwingine
Lo lo lo lo
Vitunguuu
Siezi ata kata
Ukiamua kurudi ni sawa
Picha zako nimeshika kwa shower
[Chorus]
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Ukiniwacha
Ni mi n'ta bant wa kwanza
Nitafanyaje?
Nitafanyaje?
Tukiwachana
Ni mi n'ta bant wa kwanza
[Post-Chorus]
Kiri wea
Kiri wea
Ki wea akuyo Nyaduse
Kiri wea
Kiri wea
Ki wea akuyo Nyaduse
Kiri wea
Kiri wea
Ki wea akuyo Nyaduse
[Outro]
Kiri wea
Kiri wea
Ki wea akuyo Nyaduse
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.