YWAYA TAJIRI
Nitafanyaje artwork

Nitafanyaje

1 views
Wingu La MapenziAFRO-SOULSwahili, Luo2026
PROD. BY Hendrick Sam
WRITTEN BY Ywaya Eugine Simon
(This is Hendrick Sam) [Chorus] Nitafanyaje? Nitafanyaje? Ukiniwacha Ni mi n'ta bant wa kwanza Nitafanyaje? Nitafanyaje? Tukiwachana Ni mi n'ta bant wa kwanza [Verse 1] Wajameni Aki ya nani kimeniramba Wameniibia msichana Wanaume kadha wa kadhaa Wamejazana ndani ya DM Sijui ni nini ilinifanya Nikasoma hizo ma text Na vile nakuanga nimemuaminianga I don't ever wanna love again Inauma, inauma Hizo ma picha ulituma Kwa simu nilinununa Za mbele na nyuma Inauma, inauma Hizo ma picha ulituma Kwa simu nilinununa Hadi mpaka za ku.. [Chorus] Nitafanyaje? Nitafanyaje? Ukiniwacha Ni mi n'ta bant wa kwanza Nitafanyaje? Nitafanyaje? Tukiwachana Ni mi n'ta bant wa kwanza [Verse 2] You see stress inanipiga Bila we sina Nguvu za kiume sina ata energy Na kama hii ni test usiwahi ni pima Please niambie before I erase memories Taking a walk siezi stop nakuwaza Ma Uliniblock na ni wewe ulinkosea Situation is rocky, Abebi na And you know how your love iliniingia Moyo hadi maini Ahh nikupate wapi? Nifanye nini? Ama nili laaniwa? Mapenzi inakuja ikienda Naskia ushampata mwingine Lo lo lo lo Vitunguuu Siezi ata kata Ukiamua kurudi ni sawa Picha zako nimeshika kwa shower [Chorus] Nitafanyaje? Nitafanyaje? Ukiniwacha Ni mi n'ta bant wa kwanza Nitafanyaje? Nitafanyaje? Tukiwachana Ni mi n'ta bant wa kwanza [Post-Chorus] Kiri wea Kiri wea Ki wea akuyo Nyaduse Kiri wea Kiri wea Ki wea akuyo Nyaduse Kiri wea Kiri wea Ki wea akuyo Nyaduse [Outro] Kiri wea Kiri wea Ki wea akuyo Nyaduse

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiContributor

Discussion

Sign in to join the discussion.