ZEDRIM
Jalada la Zawadi

Zawadi

2 mionekano
BONGO FLAVASwahili2026
PRODUSA Jini X66
IMEANDIKWA NA Adam Amiry Maingwa

KUHUSU WIMBO HUU

Zawadi is a Bongo Flava single by Zedrim featuring GENIUSJINI X66, released on 6 October 2026. Sung in Swahili, it runs 3 minutes 10 seconds. It was written by Adam Amiry Maingwa and produced by Jini X66, who also sings the chorus.

[Verse 1] Yeah mwenzenu nilikaona TikTok Haka kabint ka qute Kwake nilipenda Ye wakitofauti Kasura chake ka soup soup Akicheka sauti Alafu ananyama nyingi Hata Nicole hamkuti Aaaah ndo huyu hapa Na tunapendanaa Yani ananitaka nnamtaka Ngumu kuachana Dah!! na nyinyi sasa Roho zinawaumaa Kuona penzi letu linasonga Roho zina wauma [Pre-Chorus] Mama kanambia Nikiachana newe eeeh Nitafute pakwenda Mimi sio mwanawe Tena kanambia Anakupenda wewe Hio siku ntajuuta Nikikuacha wewe eeh [Chorus] We kwangu zawadi Kama zawadi Kwangu zawadi Nimepewa zawadi We kwangu zawadi Kama zawadi Kwangu zawadi Nimepewa zawadi [Interlude] Jinaa Another one [Verse 2] We nifanye kama godoroo Nikilala njoo kwa juu Nanifate kila chochoro Kwangu mzuka tu Na ulivyo mororoo Ukipita macho juu Hawachoki kukufollow Nawe wanipenda mimi tu Penzi lako kama pombe, nishalewa Kileleni ndo hapa Hatujachelewa Acha wameze vidonge Wavute sumu ndo hewa Kisa penzi letu pambe Angani la mmeaa [Pre-Chorus] Mama kaniambia Nikiachana newe eeeh Nitafute pakwenda Mimi sio mwanawe Tena kanambia Anakupenda wewe Hio siku ntajuuta Nikikuacha wewe [Chorus] We kwangu zawadi Kama zawadi Kwangu zawadi Nimepewa zawadi We kwangu zawadi Kama zawadi Kwangu zawadi Nimepewa zawadi

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Tazama video

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

t y v o d a r
t y v o d a rMchangiaji
Ndiema Ndiema
Ndiema NdiemaMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.