MARIOO
Jalada la Mtu Mzima

Mtu Mzima

2 mionekano
BONGO FLAVASwahili2026
PRODUSA S2kzzy
[Intro] Ruruu ruruuuh Ruruu ruruuuh (S2Kizzy, baby!) Aiyaah yaaiyah Aiyaah yaaiyah Mmh [Verse 1] Kama nia yako ulitaka mimi nilie Ungeniacha January Huu ni mwezi wa kumi Kama ni mechi fainali Kwa akili yako wewe ulitaka niumie Mwenzako hata sijali Ah, unaleta ukatuni Sicheki, uchekeshi unaboa [Pre-Chorus] Na toka umesema unaondoka Mbona ka' unachelewa Nina biashara zangu za kufanya muda huu Naona ka' nachelewa [Chorus] Mi mtu mzima Siwezi kulia, hayo mambo nishavuka Siwezi kutia huruma, kwenye mapenzi Hapa bandika bandua Mi mtu mzima Siwezi kulia, hayo mambo nishavuka Siwezi kutia huruma, kwenye mapenzi Hapa bandika bandua [Post-Chorus] Ah, bandika Bandua, ah Bandika Bandua, ah Ah yeah, yeah, yeah, mmh [Verse 2] Na kama ulinionaga mi mjinga Leo ndio utajua kwamba we ndio kubwa jinga Na kama ulinionaga mi fala Ndio utajua kwamba we bonge la fala Ah, walisikika wahenga (aah) Ukisema cha nini (eeh) Wenzako watakipata lini (aah) Sina hata puresha mimi [Pre-Chorus] Na toka umesema unaondoka Mbona ka' unachelewa Nina biashara zangu za kufanya muda huu Naona ka' nachelewa, nhm [Chorus] Mi mtu mzima Siwezi kulia hayo mambo nishavuka Siwezi kutia huruma, kwenye mapenzi Hapa bandika bandua Wajua mi mtu mzima Siwezi kulia, hayo mambo nishavuka Siwezi kutia huruma, kwenye mapenzi Hapa bandika bandua [Post-Chorus] Ah, bandika Bandua, ah Bandika Bandua, ah Bandika, Prince Ginimbi bandua, ah Bandika, Mudy Kilosa bandua, ah (Kamix Lizer)

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.