MARIOO
Jalada la Mambo Byee

Mambo Byee

0 mionekano
BONGO FLAVASwahili2026
PRODUSA Kaniba Creator
[Intro] Kaniba kutoka alloh [Verse 1] Oyaa mama mama zao si waliwakataza Wasicheze na sisi si watu hatari mzee Mama mama zao si waliwapa onyo Wasicheze na sisi si watu wabaya mzee Si ndo mifano si ndo mifano ya aibu Si ndo mifano si ndo mifano ya ajabu Si ndo mifano si ndo mifano ya ovyo Si ndo mifano asiyefaa kafaaa [Pre-Chorus] Siku hizi mambo yamechange, Mungu wao amekua wa kwetu Kila kitu kimekua barida, chuzi limekolea nazi [Chorus] Mambo byee (Mambo byee) Mambo shega (Mambo shega) Mambo shwari (Mambo shwari) Mambo yente (Mambo yente) Mambo byee (Mambo byee) Mambo shega (Mambo shega) Mambo shwari (Mambo shwari) Mambo yente (Mambo yente) [Verse 2] Karia, karia, karia, karia kariakoo Dharau dharau sio nzuri tafuta dooh Gongo la mboto mbagala bunju kekoo Sanya sanya usiache kichwa tafuta dooh Oyaa njaa, njaa, njaa mbaya njaa haipendezi binadamu Njaa njaa njaa mbaya njaa ni mambo ya fedhea [Pre-Chorus] Siku hizi mambo yamechange, Mungu wao amekua wa kwetu Kila kitu kimekua barida, chuzi limekolea nazi [Chorus] Mambo byee (Mambo byee) Mambo shega (Mambo shega) Mambo shwari (Mambo shwari) Mambo yente (Mambo yente) Mambo byee (Mambo byee) Mambo shega (Mambo shega) Mambo shwari (Mambo shwari) Mambo yente (Mambo yente)

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.