4MR FRANK WHITE

Alicia Keys II
ft. Lil Maina
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili, English· 2023· 0 views
PROD. BY 808 Trevor
WRITTEN BY 4Mr Frank White, Lil Maina
[Chorus]
Namwita Alicia juu ye ndo ako na keys
Chilling kwa hood baby unapata peace
Unakuanga so fly kama carpet ya Aladdin
Aaai, m n jini so make any wish
Nadoo any shit juu nataka kukuplease ma
Aaai, juu nataka kukuplease
Nadoo any shit juu nataka kukuplease ma
Aai, juu nataka kukuplease aai
Namwita Alicia juu ye ndo ako na keys
Chilling kwa hood baby unapata peace
Unakuanga so fly kama carpet ya Aladdin
Aaai, m n jini so make any wish
Nadoo any shit juu nataka kukuplease ma
Aaai, juu nataka kukuplease
Nadoo any shit juu nataka kukuplease ma
Aai, juu nataka kukuplease aai
[Verse 1: 4Mr Frank White]
She a ten like times
Lakini joh ni peng' so ni ten times ten
Cjai kuwa kafde bro
Maybe kwa cell
Amefall for a thug kwa sherili can't tell
Amechochwa na mafala aty nadai Shantel
Ametoka umoiner anadai nipush dinner
Bro niko broke na anataka twende dinner
Bills on me, na paycheck mi sina
Make a wish nakam kiJohn Cena
Nakuanga left winger, mans mi ni sad
Money tu sina, sina, sina
Ni money tu sina...'kay
[Verse 2: Lil Maina]
Skia
Namwita Alicia juu ye ndo ako na keys
Nakudigi sana ningetaka kukuplease
Mdadi iradi yangu nijikute on my knees
Tutoroke joh kwa beach, nazi hivi na kabreeze
Na baby all day, kama fity wap ungekam my way
Sato ni kuchill tutokee sunday
Na ungekuwa ngoma ningekuplay all day
On my mind all day ka iyaz replay
Na we jua tu ni true
Matym unanihitaji c unajua ni imprompt tu
Matym tumekosana naskianga tu uduu
Na kitu mi ntadoo ni my love tu kuproove
Nikuonyeshe joh ni true, joh ni true
Ah ah, aty ni true, ah ah aty ni true
Na kitu mi ntadoo ni my love tu kuproove
Nkuonyeshe joh n true
[Chorus]
Namwita Alicia juu ye ndo ako na keys
Chilling kwa hood baby unapata peace
Unakuanga so fly kama carpet ya Aladdin
Aaai, m n jini so make any wish
Nadoo any shit juu nataka kukuplease ma
Aaai, juu nataka kukuplease
Nadoo any shit juu nataka kukuplease ma
Aai, juu nataka kukuplease aai
Namwita Alicia juu ye ndo ako na keys
Chilling kwa hood baby unapata peace
Unakuanga so fly kama carpet ya Aladdin
Aaai, m n jini so make any wish
Nadoo any shit juu nataka kukuplease ma
Aaai, juu nataka kukuplease
Nadoo any shit juu nataka kukuplease ma
Aai, juu nataka kukuplease aai
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.