4MR FRANK WHITE
Njoraa artwork

Njoraa

ft. Virusi Mbaya & Kapitani
MAFRANKOOOKENYAN HIPHOPSheng, Swahili· 2026· 12 views
WRITTEN BY 4Mr Frank White, Kapitani, Virusi Mbaya
[Intro] Uh Back again Inarecord kweli? Iko bie, iko bie, iko bie, iko bie Uh, skia [Chorus: 4Mr Frank White] Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora Mbona unahepa kwani hutaki kuona njoraa Kama si mziki ningekuwanga nawapora Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora Kama si mziki ningekuwanga nawapona Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner [Verse 1: 4Mr Frank White] Mziki kwangu ndio the main hustle, sinanga side hustle Nikisunda verse urushe cash, hapo Wanaboronja tukilink wanadash juu ya makahasho Wanjiita mbogi na kwa block wanakam hapo Mbona unadash young fella kwani hutaki kuona njora Kwa mneti wanayap lakini ground wananyora Siku hizi siendi njei siku hizi nanusa macola Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner Mbona unadash young fella kwani hutaki kuona njora Kwa mneti wanayap na kwa ground wananyora Siku hizi siendi njei siku hizi nanusa macola Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner [Chorus] Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora Kama si mziki ningekuwanga nawapora Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora Kama si mziki ningekuwanga nawapona Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner [Verse 2: Kapitani] Mi niko mafutani kama tattoo haijapona We hulala na madem mi danse nalala na corner Jumper kwa ukuta ya dem umepanga kuoa Mahali tunaskia jina yako tunaichongoa Mi nikatie keki hizi bills hazijilipi Tulipatana kwa matatu hata senke mi silipi Nawaachia ju sitaki kupelekwa Kamiti Nawaambia mara ya kwanza pili hapa si kurahisi 'Mtatoka mtrr huskii ndio kumeanza kunyesha Of course niko na kiburi mi ni fan wa Manchester Pussy nigga hapana kalia kiti ya member Lips zinasonga na siskii kenye unasema Tuelewane hakuna bei inaitwa hatuwezi kosana Mbleina hunijui, we unanionanga Wanahate kijana mdogo akipanga mboka Nashukisha loud na chapati choma [Chorus] Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora Kama si mziki ningekuwanga nawapora Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora Kama si mziki ningekuwanga nawapona Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner [Verse 3: Virusi Mbaya] Zimenikashi zimetiripo hapo ndio sasa mi nimepona Hakuna dashi tukiwa rikoo nilireform nikakuwa stoner Utaekewa mchele ulale ndio ujue si wali bora Hali si hali but si huwanga hali bora Kuna place ukifika bro, punguza kung’ora Hapa si Carnivore, hapa mic zote ni za wakora Bado mi ni burglar hii usanii kwangu tu ni para Upini ya tumbo naskia alimwaga Maasai mara Unamwaga blood ukuwe crip, hatutambui color Na si madharau bado morning tunakukumbuka kwa sala Gangsta Rap ni old school, hii mziki ni ya robbery Tuko kwa trap vi-old school, hii mziki hainanga forgery Siezi blame your understanding Najua inakuwanga very hard ku understand me Alikuwa anafikiria nightrunning ni ya wachawi, hadi ile day walimchai Kuna wenye wako night learning na matawi, na si majani ya chai [Chorus] Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora Kama si mziki ningekuwanga nawapora Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner Zimenikashi zimeripoti kama Ken Walibora Mbona unahepa kwani hutaki kuona njora Kama si mziki ningekuwanga nawapona Nilielevate siku hizi sishindi kwa corner

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.