
[Intro]
Oh Mueni, oh sweetie
Hii love ni toxic, inanipandisha BP
Kumbavu zangu, umbwa mimi
Hii love ni toxic inanipandisha bp, Mueni
[Verse 1]
You’re not sorry, I can see it in your eyes
You’re not sorry, I can see it in your eyes
We ndio unanikosea but mi ndio na apologize
We ndio unanikosea but mi ndio na apologize
Hii mapenzi narcissist inanipandisha BP
Loving a narcissist inanipandisha BP
Ka ni kukula, wacha nikule waya
Ka ni kupiga wacha nipige guitar, Mueni
[Chorus]
Oh Mueni, oh sweetie
Hii love ni toxic, inanipandisha BP
Kumbavu zangu, umbwa mimi
Hii love ni toxic inanipandisha bp, Mueni
[Verse 2]
Leo Siendi dunda Naskiza kilunda
Mueni my lover, ameniwacha
Her big bunda, asante ya punda
Kichwa inaniuma I miss my woman
Nalala kama nimelewa
Kia siku napewa pewa
Nalala kama nimelewa
Kia siku napewa pewa
Naishi kama ni December
[Chorus]
Oh Mueni, oh sweetie
Hii love ni toxic, inanipandisha BP
Kumbavu zangu, umbwa mimi
Hii love ni toxic inanipandisha bp, Mueni
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.