IYANII

Utaambia Nini Watu
ft. Bensoul
AFRO-POPSwahili, Sheng· 2026· 0 views
PROD. BY Waka Waka & Igamba Mbiu
WRITTEN BY Ian Oure Okwemba, Bensoul Mutua Muia
[Intro]
Sudaaah
Kwa majina ni Iyanii (Tunakujua)
Weh wakawaka waka
[Verse 1: Iyanii]
Ni juzi mlijuana, mlijuana
Mshashona vitenge zinafanana
Picha kwa mtandao mkichochana
Vile hamuwezi kuachana
Wewe tulikukanya, tulikukanya
Ukasema ni wivu tunadanganya
Ona kimekuramba, kimekuramba
Unalia nini tulikukanya
[Pre-Chorus: Iyanii]
Na tulikuwarn si tulikuwarn
Ukadhani ni wivu tunakuonea
Na tulikuwarn si tulikuwarn
Ukadhani mpenzi wako tunamnyemelea
Na tulikuwarn si tulikuwarn
Baada ya mechi kila kitu ukamwambia
Marafiki zako ulitutoka after mpenzi umempata
Ona sasa amekuachaa umerudi kutu tafta
Marafiki zako ulitutoka after mpenzi umempata
Ona sasa amekuachaa, amekuacha
[Chorus: Iyanii]
Utaambia nini watu?
Utaambia nini watu?
Utaambia nini watu?
Utaambia nini watu?
Utaambia nini watu?
[Verse 2: Bensoul]
Sudaaah
Na si ni wewe niliona
Kwa matatu ukishukishwa
Kwani dinga ulirudisha
Ukashukishwa maishaa woo woo woo
Ukikimbisha wamama
Si tulianzanga chama
Ulidhani umeomoka ukabadilisha namba
Machozi utalia ya mamba
[Pre-Chorus: Iyanii]
Na tulikuwarn si tulikuwarn
Ukadhani ni wivu tunakuonea
Na tulikuwarn si tulikuwarn
Ukadhani mpenzi wako tunamnyemelea
Na tulikuwarn si tulikuwarn
Baada ya mechi kila kitu ukamwambia
Marafiki zako ulitutoka after mpenzi umempata
Ona sasa amekuachaa umerudi kututafta
Marafiki zako ulitutoka after mpenzi umempata
Ona sasa amekuachaa, amekuacha
[Chorus: Iyanii & Bensoul]
Utaambia nini watu?
Ulitaka Visa ukapata ni visanga
Utaambia nini watu
Kazi kwisha sasa maybe ukuwe makanga
Utaambia nini watu
Kuna time ulijidai ukajidai ukajidai
Utaambia nini watu
Sa form zako hatudai hatudai hatudai
Utaambia nini watu
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.