Kumbaya
4 views
[Chorus]
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya yaya
[Verse 1: Onyach Pala]
Tell me how abebo
You came into my life
Ukanikamilisa
You answered all my whys
Adwa na weri kendo
Itim koda collabo
My lady sing with me
Oh my cherie dance with me
Holy father
Umenibless na naonekana
I don't want no other
Baraka yangu niko naye hapa
Holy father
Umenibless na naonekana
I don't need no other
Baraka yangu niko naye hapa
[Chorus]
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya yaya
[Verse 2: Mordecai Dex]
Wanatusema sana sana
Wanabaki wameshika tama
Eh, wanasorora kinyama
Na bado hawashikanishi rada yangu na wewe
Let me take you far away
Where the sun don't fade away
You're gonna wanna stay a while
I'm the right guy kutoka Rongai
Baraka ziko tele toka most high
Woman you're a queen on the outside
Looking even better on the inside
Na umdhaniye ndiye jijazie
Sema tu nigharamie
Naona ni kama nafasi iko sana
So, songa ni songe
[Chorus]
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya yaya
[Verse 3: Okello Max]
Ni wengi sana
Ni wengi sana wakutaka nimeona
Wewe ndio dawa
Wewe ndio dawa kuwapoza zao homa
Roho zinaruka, presha nazo zinashuka
Ukipandisha mizuka, mi nimekusuka
Pia we umenisuka
Baby nimeona future
Somebody, somebody, somebody's daughter
Ni wewe nimekuwa nangoja
Umekamilisha hoja, oouuhh oooh
Somebody, somebody, somebody's daughter
I wanna love you all over
Mano kaki moro ajulo to wololo
[Chorus]
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya yaya
[Outro]
Kuma, kuma kuma kuma
Kumaanisha vipi, umenichagua mimi
Kuma, kuma kuma kuma
Kumaanisha vipi, umenichagua mimi
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya
Kumba yaya
Kumba kumba yaya
Ukinikumba yayaya yayaya yaya
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.