NYASHINSKI
1 of 1 artwork

1 of 1

To Whom It May ConcernAFRO-POPSwahili, Sheng, English· 2024· 0 views
PROD. BY Bully
WRITTEN BY Nyamari Ongegu
[Verse 1] Mafan wanataka some new ish Mamaa anataka a new whip Babaa anatafuta school fees Hananga patience ya bullshit Ah nakuwanga hood rich Jaba inaletwa na toothpick Pull up wanashangaa who's this? Pull up wanashangaa who (Shin chilla) Dogimzee hazina new tricks Wanaishanga wakifeel sweet S'wataji kama the shoe fits S'wahitaji sana vile nyi huwish Sanaa imejaa na macool kids Gava inafaa na ma youth please Ambia hawa mafala the truth is Song zao nazipeanga two weeks Mang'aa amesimama kwa pulpit Anapractice kile you preach Mind yangu inakuwanga too quick Lines zangu zinakuwanga too sick Maflow unaonanga vile mi huswitch Mi pekee ndio rapper nyi humiss Hakuna level sijai reach Hakuna dranya ako too thick [Bridge] Wah! God bless Tangu nishike cordless marapper wengi wako jobless Hii game nikaa mocha ni heartless Uh industry ni selfish Aim ya kila mtu ni get rich So na aimia kila mtu si make peace Na ata kaa kaa ntaforgive si forget shit [Chorus] Hivi ndio inakaa saa ile ubahatishi Unaona gwiji so far cheki naifanya fiti Unapenda mziki na hata hulazimishwi Na mapost mingi mingi bila stunts na makiki Narun jiji na sound fiti I am simply one of one Hivi ndio inakaa saa ile ubahatishi Unaona gwiji so far cheki naifanya fiti Unapenda mziki na hata hulazimishwi Na mapost mingi mingi bila stunts na makiki Narun jiji na sound fiti I am simply one of one [Verse 2] Ni so fulfilling silipwi na promises Ama exposure hapana ni dollar au shilling Utaamini blogger au mimi To be frank lakini Career yako ilidie ikazikwa unangoja niargue na mzoga au nini? Unanifuata sana umerogwa nini? Mi sio kaa nyinyi hakuna msanii hupiga show kaa mimi Gari ya loan kutuonesha ati vile unashika doh siamini Baada ya miaka kadhaa unadai kuchangiwa wah Juu ya okada ju ya vile umeharibu maziwa (wah) Situation yangu ni win-win aisee digaga na bling-bling Friday kidagaa na sim-sim man siezi lala nalive dream Kitu hamwezi fake ni energy Sitolerate fake energy Arif atabaki arif Enemy atabaki enemy Niko la vila nakula pasta na wife najua watu ni magangsta for life Stamps zimejaa kwa passport ya mine Kumbuka ni business class nikifly Business yangu usiingilie Usha warn-iwa saa usinitry For peace of mind sijidrive Crib ya mine si ni vibes Umefanya nini in life Ndio uweze kunipa advise Tuambie unajua nini besides Kucriticize, criticize Nimefanya vitu hukuwa unajua zinaeza fanyika keep it 1hunna So ata hizo vitu nakuona uko busy ukiandika hazina maana Mahater si wanang'ang'ana Mamoves mi namake wanaziona Umengoja niheme ukahema Nilikushow mi ni marathon runner Nafanya unakaa fala kupredict downfall ya mine Mmebonga sana na nimewaskia Saa nawachapa one at a time

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.