TAI CHI artwork

TAI CHI

1 views
YariasuAFRO-POPSwahili, Sheng2025
PROD. BY Texnologos Weizmann Irakoze
WRITTEN BY Nyamari Ongegu
[Verse 1] Uko kwa traffic bila AC Unascroll tu malele IG Niko na bed 6 uko kwa bedsitter Siku hizi sura yenyewe ID Naeza drive gari mkebe na steez Naishi side ya njeve na trees, uh! Naamkanga saa najiskia Na navaa tai kaa najiskia [Bridge] Luku safi juu stunnas Oud satin mood lover Nakeep time tukikutana Na namake sure unacome first Good manners, good heavens Alafu good riddance Nakuguarantee utanimiss (Wewe) Nakugarantee utanimiss (Utanimiss) Ukishajua mbona wote [Chorus] Wananiita master, ama daddy Nilizaliwa Nai Hizi streets jina yangu ID Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Kkkk kama tai chi Kkkk kama tai chi [Verse 2] Nikidrop hawaezi kwara Wanairukia ni kaa imetupwa nyara Ukiangalia unaona tu msafara Kaa siafu, na hizo tu ni dallaz Nahesabu bila hitilafu Bila wass, bila curfew Najituma, navuna Kama kuna works ya kuskuma naskuma Hizi streets hazitakangi maduanzi Kuna jam ya watu wanasaka ganji Na ma youth wanaasha tu mabangi Kulalia maskio hatutakangi Ma scammer hutarget watu wa mũcatha Brother, hapa kaa rada Utadhania ni get rich quick Kumbe zimedisappear ki abracadabra [Chorus] Wananiita master, ama daddy Nilizaliwa Nai Hizi streets jina yangu ID inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Kkkk kama tai chi Kkkk kama tai chi [Outro] Wananiita master, ama my G Na hawanisaidii Hizi streets jina yangu ID Inagonga kutoka far kama tai chi Gonga kutoka far kama? Gonga kutoka far kama tai chi Gonga kutoka far kama?

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.