NYASHINSKI
Wach Wach artwork

Wach Wach

Lucky YouAFRO-POPSwahili, Sheng· 2020· 0 views
PROD. BY Sam Are
WRITTEN BY Nyamari Ongegu
[Intro] Yeah, yeah Wach, wach Wach, wach Yeah [Verse 1] Mi ni senior nafaa kuwa nadeputy Pedi wako anajua nina pedigree Infact unafaa kuwa unasimama niketi Hii gava itasanya hata mamatha vibeti Mwizi atakuibia walenje ukidedi Mwizi anapunguza jam akidedi Hizo ni vitu ma-rapper hawatemi Kua ma-career ni pang'ang'a na deni Hakuna mtu anasema ukweli Watu wanalipwa mapeni Nikiwa mavela naona makaveli Hii ni msomo free ka People Daily Umeng'aria hawa watu for long, mpaka saa inabore Inabore saa mpaka umeanza ku-long for watu unang'aria Iko wapi hizo throne naskia zimekaliwa Sikuangi kwa zone, nakuanga kwa caliber flani ya form Haiezi match-iwa, najua itakuwa long kabla mu-mature Msinitry mi najijua Risasi haisimamishwagi na kifua Kisasi hailipishwagi na ratili Na kama customer flani anasumbua Mi najijua [PreChorus] Nimeconfirm (Nimeconfirm) Mi najijua (Mi najijua) Mitaa zimetii-tii-tii-tii Mi nachafua (Mi nachafua) Zao ziko down (Zao ziko down) Si tuko tu up (Si tuko tu up) Mitaa zimetii-tii-tii-tii Mi nachafua (Mi nachafua) [Chorus] Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach, wach) Wach, wach (Wach, wach) wach, wach (Wach, wach) Ndo vile naskia Wach wach ndo vile naskia Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach, wach) Wach, wach (Wach, wach) wach, wach (Wach, wach) Wach, wach ndo vile naskia Wach, wach ndo vile naskia [Verse 2] Okay you see, only what they let you see Na hii ni advice si matusi Don't fuck up juu ya ganji Don't act like you're so holy Judgement yako haikuponyi Ukiomoka asubuhi usikuwe ushasota by jioni Mi naslaughter microphoni Go missing, hamnioni Nikinyamaza jua nikupromising ka Tigoni Been polishing skills za mine Ni astonishing ka milioni Na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me Yeah, mauraru hatatuja tuna Ngata gari yangu inakunywa Defence na attack, najichunga Guranteed leo baki na kuma Ka Mr. Tuna, ah sina tumor Plus huna kiuno hadi najiuma Umetisha and I'm sure you know We itisha mpaka wa-jam Na hii beat ni ya my nigga Sam Ear drums zako zinakubali Pia roho yako inakubali Hii flow ina uhodari flani Huonangi mtaani, ndo unaona hapa nani ndo daktari Dere wa trailer atakuwa na Ferrari, amen Mi najijua [PreChorus] Nimeconfirm (Nimeconfirm) Mi najijua (Mi najijua) Mitaa zimetii-tii-tii-tii Mi nachafua (Mi nachafua) Zao ziko down (Zao ziko down) Si tuko tu up (Si tuko tu up) Mitaa zimetii-tii-tii-tii Mi nachafua (Mi nachafua) [Chorus] Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach, wach) Wach, wach (Wach, wach) wach, wach (Wach, wach) Wach, wach ndo vile naskia Wach wach ndo vile naskia Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach, wach) Wach, wach (Wach, wach) wach, wach (Wach, wach) Wach, wach ndo vile naskia Wach, wach ndo vile naskia [Outro] Nimeconfirm Mi najijua (Mtaa zimetii-tii-tii) Mi nachafua Zao ziko down Si tuko tu up (Mtaa zimetii-tii-tii) Mi nachafua Wach, wach, wach, wach, wach, wach (Tii-tii-tii) Wach, wach, wach, wach, wach, wach (Tii-tii-tii)

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.