Taya artwork

Taya

1 views
HealingAFRO-SOULSwahili, Luo2025
PROD. BY Joseph "Giggz" Njenga
WRITTEN BY Julius Okelo McRymboh, Simon Eugene Ywaya
[Verse 1] Naanzaje laumu, love iliisha mapema Mapenzi yashanidhulumu, maisha haya ya sinema Kwani tutakula mapenzi tu, swali limenivua heshima Ipo siku nitafaulu na roho yangu mi nitaikinga Ooh ni salama, salama nawe Napiga sala, na nainama Lazma niiname, mvunguni nafika Yashanwagika na yatazoleka Siezishindwa so ni salama Salama nawe salama [Chorus] Yawa ang'omi jara, hera olokore achaya Abebina sina ubaya, miel koda mogik kapokisimo taya Ang'omi jara, hera olokore achaya Abebina sina ubaya, miel koda mogik kapokisimo taya [Refrain] Kirisimna taya, kirisimna taya Kirisimna taya, abebo kirisimna taya [Verse 2] Asebedo kamanyo manyoge gima mara mari To matin mayudo okoromi juu we ni baddie Awino Mariana ona umefanya pii wang’a chwer Ulinidanganya utakuwa pamoja koda nyaka chieng Ni salama, salama nawe Napiga sala, nainama Sharti niiname, mvunguni nafika Yashanwagika na yatazoleka Siezishindwa so ni salama Salama nawe salama [Chorus] Yawa ang'omi jara, hera olokore achaya Abebina sina ubaya, miel koda mogik kapokisimo taya Ang'omi jara, hera olokore achaya Abebina sina ubaya, miel koda mogik kapokisimo taya [Refrain] Kirisimna taya, kirisimna taya Kirisimna taya, abebo kirisimna taya [Outro] Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma Nicheze nawe mara ya mwisho mbele Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma Nicheze nawe mara ya mwisho mbele nyuma

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.