ONYACH PALA
I Won't Stop artwork

I Won't Stop

33 views
GwethAFRO-SOULSwahili2026
PROD. BY Victor Mbogo and Hendrick Sam
WRITTEN BY Edgar Israel Onyach, Njoki Karu, Neema Mbogo
[Verse 1: Onyach Pala & Njoki Karu] Nimepigana na shetani Nitapigana na shetani mara ngapi? Yale nimeona gizani Nimeshangaa na yale nimeona mi gizani Ninatafuta imani Moyoni mwangu nimejawa na maswali Majaribu mengi mi nashindwa Sitakubali kulemewa na shetani [Chorus: Onyach Pala & Njoki Karu] Nasonga mbele Nasonga mbele I won't stop trying I won't stop trying Nasonga mbele Nasonga mbele I won't stop trying I won't stop trying [Verse 2: Onyach Pala] Hata kama sijui pahali ninaenda Mi siogopi kutembea Mi sitwacha kutembea Na nikifuatwa na maadui Wakinitenda Mi sitawacha kujipenda Kila siku ya calendar [Chorus: Onyach Pala & Njoki Karu] Nasonga mbele Nasonga mbele I won't stop trying I won't stop trying Nasonga mbele Nasonga mbele I won't stop trying I won't stop trying Nasonga mbele Nasonga mbele I won't stop trying I won't stop trying Nasonga mbele Nasonga mbele I won't stop trying I won't stop trying [Bridge: Onyach Pala & Njoki Karu] Amini nami sio mwisho wa safari Uko njiani siku yako haiko mbali Amini nami sio mwisho wa safari Uko njiani siku yako haiko mbali Amini nami sio mwisho wa safari Uko njiani siku yako haiko mbali Amini nami sio mwisho wa safari Uko njiani siku yako haiko mbali Amini nami sio mwisho wa safari Uko njiani siku yako haiko mbali Siku yako haiko mbali Siku yako haiko mbali (Siku yako haiko mbali)

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtContributor

Discussion

Sign in to join the discussion.