SAUTI SOL
Set Me Free (Interlude) artwork

Set Me Free (Interlude)

Midnight TrainKENYAN POPSwahili, English· 2020· 0 views
PROD. BY Sauti Sol
[Intro: Chimano] Ehhh Ehhh Ehhh [Verse 1: Sauti Sol] Hivi bado nakumbuka, nikiwa kijana Ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana Na wasichana walinipenda, wengine walinikataa Na hapa nilipoamka, sikulala jana Napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana Na ma-CD zilipasuka, wengi walizaana kwa sana Na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani Wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasanii tuliponea (Eh!) [Chorus] Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Won't you set me free, nizidi kijana? [Verse 2] Kaja Facebook, kaja Twitter, kaja pia na Instagram (Ooh) Wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana Na walitesa, tesa Wazungu wanasemanga ati business and pleasure Inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure Wasanii tuliponea [Chorus] Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Won't you set me free, nizidi kijana?

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.