WAKADINALI
NyaraNyara artwork

NyaraNyara

Victims of MadnessKENYAN HIPHOPSheng, Swahili, English· 2020· 5 views
PROD. BY Ares66
WRITTEN BY Domani Munga, Sewersydaa, Scar Mkadinali
[Intro] Yo Free us men Free us men Fuck lockdown Fuck hating manze For Real Big beats Afriq Wakadinali Afrvka [Hook: Domani Munga] Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya [Verse 1: SewerSydaa Mkadinali] Nine months unatake kudeliver, hatukuonei huruma huku unless una mimba Ngwai East imepeleka vijana wengi Inda, it's high time Kenya ikuwe legal Ni heri uangushe kinde CBD njoka ako rada ukikojoa atakushika Mister at least try joh kubehave sitaki damu imwagikie my linen T-shirt Naskia mnanitafuta huh! mpaka mnanifuata kwa duka Stеpper mi hukanyaga kubwa, ukikuja sana perhaps utakulwa Unafaa kujua nani ndo kushuta, beforе kunukisha hii mtaa unaweza juta Mbepa si hufungia gunga hakuna ni Sunday mzae joh amefunga Mi huflip ka beats za Afrika, niliwaachia Hiphop siku hizi man a driller Mabiz za mpini si hupiga kwani si ata judge alipardon killer Splash splash tukifika itoka inaspark ma opp wanaitika Trap trap to saa tisa ni mboka nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika (Trap, Trap) Nimeona Subru ikinipita I think kwa hio rounda scene ilipigwa Burus iliskika street iliwika black alikam akanyambisha Naskia mi mchafu spitter, ni ka mi huandika hizo ngoma kwa pipa Kudus informer though hawakunipata nilikuwa na operate na Beeper (Kudus) [Hook: Domani Munga] Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya [Verse 2: Domani Munga] Kuna venye Covid naitii kitu moja, daily Coro 19 nilinona Cyber ronging different locations, wolan tunaiduingi normal Fake kings nazidi kuwawinda, ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan hii ndo dimba Peng ni ayela msupuu, mans na Domani naishi life bila filters Sina hadi maarifa, mi nilidhani shore nilikuwa nabonga naye Insta ni Risper Nikihama mi huenda na kamba za nguo, I wish ningekuwa KPLC Arif alikuwa MCA, saii ni MP anarepingi Westy Sikumeet huyo msichana, no no, nilidate hio vagina Doch una manzi mndechu, ushaimwanikanga kwa mneti hapana I was high in school man a driller, tangu enzi za Insyder Nina ndoto ya maziwa mrefu inaweza lipa debts zote za Mchina Watch what you are talking kwa pot, timeline yako ina TikTok Nina maboyz Kisee huko Ngong walipanua rikko sai wana manufacture Richot [Hook: Domani Munga] Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mraa tunairun bila haya Na gut ni kilalo ya jana Jokes on you mnatupima Liars manze hio ni nini mnafanya? Mavedi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Peng ni ayela na gang ilimnyora Design ya nyara nyara nyara Mavedi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya Warazi walipumua fire (Huh!) Exactly niliwadanganya [Verse 3: Scar Mkadinali] For Real Heri nitokee siwezi kukutusi twitter mimi OCS OCS alisema tupotee na tusiwahi rudi mjini Wananiita Dangote na mi sijui kwanini Nyong'inyo zangu zinatee sivui viatu nikiwa kwako mimi Tenje ipotee nishakuwa Hoodini Sanse atokee hii ngwai haizimwi Mi sinanga fe bado najiamini When you see me, better hashtag easy Deep down they wanna be me Hii mtaa chini ya maji niko na dini Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building Combine kila rapper Kenya ndio unimake mimi Wakiniona ni rizla na ganja Nikishawachoma girimba narambwa Mama mboga anachezaga na rada Alinicall akanishow safisha unasakwa Ju nina niggas waliiba na Alibaba Pandishaga middle finger kwa media na gava Vijana walikosa riba na rada Ilikuwanga ni mchana wakikimbiza mambang'a Sio easy getting this shilling Mi na bro kitchen we be distilling Yeah I told you if you see him, you see me I was not there but it gave you the same feeling Undercover Google search Undercover msupa acheze bubu tukifuck Ka anakanja crew inakam Wakiletanga ujanja crew inakam kuburn

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.