WAKADINALI

[Intro: Domani Munga]
Yoh waddup waddup Aress..
66 Man
Wakadinali again, au sio?
Mafans bado mpo? Hatupo Hatujali nini...
Rowesa nyoro, kumamaye au sio?
Uh
[Chorus: Domani Munga]
Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru Mesora
Weh pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora
Pima poa, hii chingri naineed jo kumochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Weh pima poa, ati ukiuza mboiyoi Buru Mesora
Weh pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora
[Verse 1: Domani Munga]
Tuma kakitu hadi ya kutoa acha izo
Msee ashai niondolea meh G.O.A.T kutoa hizo matatizo
Jonsaga na mogoka, bob saba ndani ya boxer
My mummzy ni Wabosha, mi na Maxine kwa taxin naororia
Tripo ni ya Umoja but nawamake-ia nuclear program
Nyi ni waoga na Munga ndo mganga anawashinda kuroga
Maji ya kuoga, siku hizi nawauzia thao moja
Mi ni topsweeter, Munga mi ni volatile
Rudi salon kaa na wamama, we ni pedophile
Lighter jo ni Kifaru, chaji akisha roach inferno
Kisha Doch ni ballot, leo, divai ni ngano
Chingri leo ni mano, we ni diva, we ni bro wa Chimano
Hio leave alone, hio ni mfano
Pia kuna bidhaa zenye ni mchi nazitii
Zote huwanga round but usicompare Big G na minji
Usiwai comparе Dj Shiti na Meechie
[Chorus: Domani Munga]
Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru Mesora
Weh pima poa, hio pricе ieke chini
Bro ameng'ora
Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Weh pima poa, ati ukiuza mboiyoi Buru Mesora
Weh pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora
[Verse 2: Sewersydaa]
After scene, questioning tulipelekwa precinct
Ata beast anajua happenings ni huko mall ya chini
Work hio mwili ndo upate milli' mi natumia akili
Watu wa East-wing lazma ndeng'a really?
Huku down watu wamejam hadi wamekuwa trigger happy
Guza madam vizuri kwa club ujipate hauna ganji
Shimo flani ndo inafanya mpaka gangster hulali
Buda amejam mabuti mama amegeuzwa victim wa waragi
Ana red ID, Wanjigi anaeza empty magazine
Sailor ‘ntasafiri nimeacha mbegu enough kwa hii city
Venye mdem hutoa itatake miracle kupata mkidi
Fika poa naskia we hukuwa high tu na flight ya Swedish
Si ndo maboyz wahot ingizwa baridi ni ka uko kwa pick up
Sky tulipita ona si ni ma stars kwa giza
Tunapenda jako kubwa, zile zinaweza tuficha
Supu surwa after mbichwa manze jo zilishika
[Chorus: Domani Munga]
Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru Mesora
Weh pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora
Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Weh pima poa, ati ukiuza mboiyoi Buru Mesora
Weh pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.