WAKADINALI
Wapi Na Nani? artwork

Wapi Na Nani?

ft. Sir Bwoy
Victims of MadnessKENYAN DRILLSheng, Swahili, English· 2020· 1 views
PROD. BY Ares66
WRITTEN BY Domani Munga, Sewersydaa, Sir Bwoy
[Intro:] Woah Woah Woah Woah Ah [Chorus: Domani Munga] Wapi na nani? Wapi, nani? Wapi na nani? Ngoja niwalole! Pinji ni red rose Msee ana gotha, ni ombre Ukimuok, na heda ni dibla Sisi kuslay, si ka kina Zari Continue, show msee alituzidi Wapi na nani? Wapi na nani? Wapi, nani? Wapi na nani? Ngoja niwalole! Pinji ni red rose Msee ana gotha, ni ombre Ukimuok, na heda ni dibla Sisi kuslay, si ka kina Zari Continue, show msee alituzidi Wapi na nani? [Verse 1: Domani Munga] Hebu kuja kuja kuja, huku kamenuka Ka-Ka-Ka! Ndeng'a msee inatiririka Si ni wa kukuja tuko nyuma, huku kwetu mtaro imefura Liquor, nimefanya imeisha full half-litre Tangu niwe mless mi ni mtukutu Gyaldem anajua Kim-Jung Dosh, mi ni mtu kutu Sare porojo, bad news, this is the cookbook Siezi pull up na kisu, mi ni mtu tu-tu-tu Mbuku nijaze mistari zii Hihihi! Chill, booth hunukanga Me ni m-likkle ill Tafuta diro na mngola Uwezi rudi tena umezeshee Mbleina namtoka Usiwai kubonga sana kasheshe Ngati ngati ngati ngati ngati ngati msee This is a wake up call Welcome to my channel Who am I? Cheki skele wa mine Dinga vanilla interior Mbele na nyuma ni white [Chorus: Domani Munga] Wapi na nani? Wapi, nani? Wapi na nani? Ngoja niwalole! Pinji ni red rose Msee ana gotha, ni ombre Ukimuok, na heda ni dibla Sisi kuslay, si ka kina Zari Continue, show msee alituzidi Wapi na nani? Wapi na nani? Wapi, nani? Wapi na nani? Ngoja niwalole! Pinji ni red rose Msee ana gotha, ni ombre Ukimuok, na heda ni dibla Sisi kuslay, si ka kina Zari Continue, show msee alituzidi Wapi na nani? [Verse 2: Sir Bwoy] Majengo naitwanga Mukhtar I'm the headman napita na vichwa Huwezi nikunja, huwezi nibend Mpesa na ngithe nadunga weekend Niko manyaru, niko machwadi Kila subaru nadhani ni mambaru Thefo wa leo ni momo, na Shika kundule tatu za njuri Rezi alinyuria na nyoi Woi woi woi Sogi amebeba na ndeng'a ni mboi Mokoro analianga woi Jirani ana roho chafu Ai woishe Ulikula mavi na snail? Shit, Shit [Chorus: Domani Munga] Wapi na nani? Wapi, nani? Wapi na nani? Ngoja niwalole! Pinji ni red rose Msee ana gotha, ni ombre Ukimuok, na heda ni dibla Sisi kuslay, si ka kina Zari Continue, show msee alituzidi Wapi na nani? Wapi na nani? Wapi, nani? Wapi na nani? Ngoja niwalole! Pinji ni red rose Msee ana gotha, ni ombre Ukimuok, na heda ni dibla Sisi kuslay, si ka kina Zari Continue, show msee alituzidi Wapi na nani? [Verse 3: Sewersydaa] Hatuongei juu ya kukang'a ka hatujaifanya 'Takwachia scar kwa face tuanze kuita Tony Montana 'Tapigia mkanya na asiposhika unaeza ita Hosanna Bei imepanda lakini, hatuwezi kosana Niko na mzabra mi-huita mzaba kila idhaa anapurura Naskia mi hurap uhuni (Eeh) Juu hakuna kitu ingine najua Mta-sue kampuni ama tuingie streets Bado mnabuya Nilisuka Ruby akaingia key, nikaitundura Si hukuwa wild Achana na Willis, ye bado niwakukuja Dry, Dry no chaser Henny kwa meza Hivo ndio si hukunywa Look inaunguza, kiatu ya duka Huku mtumba ndio si hudunga Agent hudungwa wakamiss bunda Hessy akawakuta Si huchoma mpaka ituchome vidole Boza inageuzwa nyongi We na hiyo slim inabaki ukuwe mpole Roda inaingizwa na key na Rhoda anaingizwa ndole Ukibonga hatukuskii before tutoke Scene si huwacha sorted [Chorus: Domani Munga] Wapi na nani? Wapi, nani? Wapi na nani? Ngoja niwalole! Pinji ni red rose Msee ana gotha, ni ombre Ukimuok, na heda ni dibla Sisi kuslay, si ka kina Zari Continue, show msee alituzidi Wapi na nani? Wapi na nani? Wapi, nani? Wapi na nani? Ngoja niwalole! Pinji ni red rose Msee ana gotha, ni ombre Ukimuok, na heda ni dibla Sisi kuslay, si ka kina Zari Continue, show msee alituzidi Wapi na nani?

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.