WATENDAWILI
Nyamama artwork

Nyamama

ft. Okello Max
En RouteAFRO-POPLuo, Swahili· 2024· 1 views
PROD. BY Kobby Worldwide
WRITTEN BY Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach, Julius Okello McRymboh
[Verse 1: Ywaya Tajiri] Nyathi jose kongolo Koro obet ka nga mofuo Hera okete piny hera omiyo aura otuo Mayo mayo mayo Niko karibu kulia Zimeshanilipukia Halo halo halo Simu nikikupigia mteja ndio inaingia [Chorus] Nyamama nyamama nyamama Mapenzi imenifanya kama fala Nyamama nyamama nyamama Aleki bebi ata siezi lala Ukipenda umependa Ukipenda umeshapenda Ukipenda umependa Mambo ya moyo hauwezi kuelewa [Verse 2: Onyach Pala] Ka in buta chunya kwe Asendiko wer collabo nipe aah To ka idhi pi wanga chwer Wende manwa wero ga okanyal wer Onyach pala Onyach pala Nakumbuka ukiniita kwa kitanda Amany njaga kos amany dawa Hera mani mi ya ga ema miya power [Chorus] Nyamama nyamama nyamama Mapenzi imenifanya kama fala Nyamama nyamama nyamama Aleki bebi ata siezi lala Nyamama nyamama nyamama Mapenzi imenifanya kama fala Nyamama nyamama nyamama Aleki bebi ata siezi lala Ukipenda umependa Ukipenda umeshapenda Ukipenda umependa Mambo ya moyo hauwezi kuelewa [Verse 3: Okello Max] Huh aah nindo tama Bedo ni anindo kenda koya chama aah Aki nahuzunisha ona vile pillow zangu zimeisha Animo ei nam Stretching my hand hoping you reach out Na ni kama nimeshazama Juu ni penzi lako tu ndo nataka Jogo makoro koruruna Ukonakuma opondo Namtafuta huyu kipusa Nimetuma na njiwa [Chorus] Nyamama nyamama nyamama Mapenzi imenifanya kama fala Nyamama nyamama nyamama Aleki bebi ata siezi lala Nyamama nyamama nyamama Mapenzi imenifanya kama fala Nyamama nyamama nyamama Aleki bebi ata siezi lala Ukipenda umependa Ukipenda umeshapenda Ukipenda umependa Mambo ya moyo hauwezi kuelewa [Outro] Alemo alemo Mond ayudie jahera Mond abetie bathi Alemo alemo Mond ayudie jahera Mond abetie bathi

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.