
[Intro]
E-syde
Ina record kweli?
Ayo Chino, you again?
[Hook]
Ati niko ka mugunda na unajua kananichocha
Kananichocha wacha nikastue na quarter
Nimeambia mama asishinde akiningoja
Leo nikujiachilia na kuzitoka
Naeza adisia, naeza adisia, naeza adisia
Tujaze mzinga ama beer
Leo ni za Maria, inataka shuksha bhajia
Area sitapitia ju zimeshika niku wapimia
[Chorus]
Chubwi, chubwi
Hata na maombi hazishuki
Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi
Hazishuki hata na upepo ya nduthi
Chubwi, chubwi
Hata na maombi hazishuki
Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi
Hazishuki hata na upepo ya nduthi
[Verse 1: Lastie]
Niko juu ya mandom sitaki vodo naeza doze
Najipepeta kidogo joto ndani ya room ni most
Zimengwata sidai kuonyesha nimeenda off
Mzinga ikuje faster faster, dosi akibanja ata sort
Nyi ni wa makali, si ni wa mandom
Jaba ikiraru ni asali inataka roots za Bob
[Verse 2: Kapitani]
Juu umeamua ekeni doba tubanju
Utafanya nisimamishe mbele ya watu
Watu waskie poa round ya kwanza kwa bill yangu
Toroka pombe ikianza kuwa tamu
Sato is for the boyz, ni ya kuenjoy
Siz wacha kutupima hiyo matako haisongi
Nachekesha kibano na siitoi
Tutatoka wakiosha kuishiwa pesa sioni
[Bridge]
Tingisha hatujakuja hadithi
Pombe unafikiria na nununa ya nini
Si we ndio ulisema unataka kuskia fiti
Unataka kuroll na boy wa mjini
[Chorus]
Chubwi, chubwi
Hata na maombi hazishuki
Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi
Hazishuki hata na upepo ya nduthi
Chubwi, chubwi
Hata na maombi hazishuki
Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi
Hazishuki hata na upepo ya nduthi
[Hook]
Ati niko ka mugunda na unajua kananichocha
Kananichocha wacha nikastue na quarter
Nimeambia mama asishinde akiningoja
Leo nikujiachilia na kuzitoka
Naeza adisia, naeza adisia, naeza adisia
Tujaze mzinga ama beer
Leo ni za Maria, inataka shuksha bhajia
Area sitapitia ju zimeshika niku wapimia
[Verse 3: Lastie & Kapitani]
Dunda mpaka che
Wacha niheshimu weekend
Unazimishwa na keg, utawezana na matile
Chunga usibleki kwa game
Nadhaningi unaeza tell
Out to the gang
Outside na your peng
Tusere kwa local hata jongo imetosha
Machaji kadhaa wanye wanalipa ndio wanaorder
Nakula ndina sitambui mwenye anaona
Sitambui akijipa ndio na pull up to her bumper
[Bridge]
Tingisha hatujakuja hadithi
Pombe unafikiria na nununa ya nini
Si we ndio ulisema unataka kuskia fiti
Unataka kuroll na boy wa mjini
[Chorus]
Chubwi, chubwi
Hata na maombi hazishuki
Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi
Hazishuki hata na upepo ya nduthi
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.