KAPITANI
Chubwi artwork

Chubwi

ft. Lastie
1 views
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PROD. BY Capo To Di Top
WRITTEN BY Martin Gikunju Nduati, Lastie Kabaya
[Intro] E-syde Ina record kweli? Ayo Chino, you again? [Hook] Ati niko ka mugunda na unajua kananichocha Kananichocha wacha nikastue na quarter Nimeambia mama asishinde akiningoja Leo nikujiachilia na kuzitoka Naeza adisia, naeza adisia, naeza adisia Tujaze mzinga ama beer Leo ni za Maria, inataka shuksha bhajia Area sitapitia ju zimeshika niku wapimia [Chorus] Chubwi, chubwi Hata na maombi hazishuki Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi Hazishuki hata na upepo ya nduthi Chubwi, chubwi Hata na maombi hazishuki Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi Hazishuki hata na upepo ya nduthi [Verse 1: Lastie] Niko juu ya mandom sitaki vodo naeza doze Najipepeta kidogo joto ndani ya room ni most Zimengwata sidai kuonyesha nimeenda off Mzinga ikuje faster faster, dosi akibanja ata sort Nyi ni wa makali, si ni wa mandom Jaba ikiraru ni asali inataka roots za Bob [Verse 2: Kapitani] Juu umeamua ekeni doba tubanju Utafanya nisimamishe mbele ya watu Watu waskie poa round ya kwanza kwa bill yangu Toroka pombe ikianza kuwa tamu Sato is for the boyz, ni ya kuenjoy Siz wacha kutupima hiyo matako haisongi Nachekesha kibano na siitoi Tutatoka wakiosha kuishiwa pesa sioni [Bridge] Tingisha hatujakuja hadithi Pombe unafikiria na nununa ya nini Si we ndio ulisema unataka kuskia fiti Unataka kuroll na boy wa mjini [Chorus] Chubwi, chubwi Hata na maombi hazishuki Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi Hazishuki hata na upepo ya nduthi Chubwi, chubwi Hata na maombi hazishuki Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi Hazishuki hata na upepo ya nduthi [Hook] Ati niko ka mugunda na unajua kananichocha Kananichocha wacha nikastue na quarter Nimeambia mama asishinde akiningoja Leo nikujiachilia na kuzitoka Naeza adisia, naeza adisia, naeza adisia Tujaze mzinga ama beer Leo ni za Maria, inataka shuksha bhajia Area sitapitia ju zimeshika niku wapimia [Verse 3: Lastie & Kapitani] Dunda mpaka che Wacha niheshimu weekend Unazimishwa na keg, utawezana na matile Chunga usibleki kwa game Nadhaningi unaeza tell Out to the gang Outside na your peng Tusere kwa local hata jongo imetosha Machaji kadhaa wanye wanalipa ndio wanaorder Nakula ndina sitambui mwenye anaona Sitambui akijipa ndio na pull up to her bumper [Bridge] Tingisha hatujakuja hadithi Pombe unafikiria na nununa ya nini Si we ndio ulisema unataka kuskia fiti Unataka kuroll na boy wa mjini [Chorus] Chubwi, chubwi Hata na maombi hazishuki Tuko maji chubwi, Tuko maji chubwi Hazishuki hata na upepo ya nduthi

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiContributor

Discussion

Sign in to join the discussion.