KAPITANI
Single artwork

Single

11 views
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PROD. BY Fyat
WRITTEN BY Martin Nduati
(Fyat) Ina record kweli? [Verse 1] Unanilola nakulola Kama unanidai si tuende hivi Mi kijana vako mingi mingi Mi ni mjanja ukitaka tuieke siri Abracadabra orwaro iende missing Ntakiseti sikujudge Nyash ni ya Nicki Minaj Already mi ni fan Nakusuka kigwash Waiter ongeza jug leo nashuka na madam Wengine juu ya senke wanakam Watatupata kwa club Leo ni jaba polite Look polite Nachafua wines, kata tenje tuko site Niko na pesa na kiburi ya kuonyesha Bar 4 nimeteseka Sai ni kuwatesa [Chorus] I'm singe depending nani anauliza Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa Ni vodo ama ni keg Tukitoka hapa nipee Vodo ama ni keg Kenye unataka wakupee Says she's single depending nani anauliza Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa Ni vodo ama ni keg Tukitoka hapa nipee Vodo ama ni keg Kenye unataka wakupee [Verse 2] Kitu inaniambia nimefika miaka ya ku-marry Ingine inaniuliza why the hurry Sijengi so jaba haina mabati Leo nahofia sitajua venye nitafika kejani After shots mbili nishaanza u-lovey dovey Namdai mmh, na ako chwani chwani Namark territory akikuachia suruali Nikipigiwa nadai kujua huyo ni nani Topa na machupa nawakunywa Ukitaka ni chupa utakunywa Hanikatazi kuguza Tu-misbehave kesho tujifanye hakuna mtu anakumbuka [Chorus] I'm singe depending nani anauliza Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa Ni vodo ama ni keg Kenye unataka wakupee Vodo ama ni keg Tukitoka hapa nipee I'm single depending nani anauliza Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa Ni vodo ama ni keg Tukitoka hapa nipee Vodo ama ni keg Kenye unataka wakupee Leo ni jaba polite Look polite Nachafua wines, kata tenje tuko site Niko na pesa na kiburi ya kuonyesha Bar 4 nimeteseka Sai ni kuwatesa I'm singe depending nani anauliza Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa Ni vodo ama ni keg Tukitoka hapa nipee Vodo ama ni keg Kenye unataka wakupee [Outro] Says she's single depending nani anauliza Jiachilie, itisha ni sponyo atalipa Ni vodo ama ni keg Tukitoka hapa nipee Vodo ama ni keg Kenye unataka wakupee

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtContributor
Pius Otieno
Pius OtienoContributor

Discussion

Sign in to join the discussion.