
[Chorus]
Vurugu ilipita dakika salope ikabidi wamehepa
Fala alidigi mchuma kwa toja ikabidi amelenga
Dondoka dondoa
Mjoro ikitoka, si naitoka
Ni mbaru alitokwa
Vurugu ilipita dakika salope ikabidi wamehepa
Fala alidigi mchuma kwa toja ikabidi amelenga
Dondoka dondoa
Mjoro ikitoka, si naitoka
Ni mbaru alitokwa
[Verse 1: Mauru Gwash]
Hide identity, nikipiga scene, mi ni felony
Gava haijai boost economy
Nawashika zote zote mpaka Heroin
Mavidevu utahitaji steroids
Karibu waninyurie outer ring
Mob ilinisunda ndani ya rim
Hizo days tulikuwanga wagondi
Nilichapanisha m-pepe na kidi
Walinyuria jicha wangu R.I.P
Mi ni soldier huwezi pata niki-grief
Mirista noma na wa-brief
Body count zinafanya sina peace
Intentions zao counterfit
Ndula zangu huwezi fit
Kesi zote niko guilt
Hide my pride nipige biz
Mboka kuwashika na usanii
Itaja jipa mtatii
Ni kawaida wakisnitch
Mbogi yangu hakuna bitch
Ni hufanya what I preach
Chukua muda kunireach
Hawa marapper time kichwa iwa-itch
Lazima nitakuwa rich
[Chorus]
Vurugu ilipita dakika salope ikabidi wamehepa
Fala alidigi mchuma kwa toja ikabidi amelenga
Dondoka dondoa
Mjoro ikitoka, si naitoka
Ni mbaru alitokwa
Vurugu ilipita dakika salope ikabidi wamehepa
Fala alidigi mchuma kwa toja ikabidi amelenga
Dondoka dondoa
Mjoro ikitoka, si naitoka
Ni mbaru alitokwa
[Verse 2: Toxic Lyrikali]
Wakitrace madem si tuko vurugu na mandem
Kadere usizime engine kaa rada tunaweza hepa afande
Rezi agande, beba ngito last supper ilikuwa Sunday
Bars ni clean, kuwaosha kaa sabuni ya kipande
Cock kidale, lakini usimeze kwangu utamwaura
Nafanya dem yako ana moan morning anashindwa kurauka
Navaanga nyonginyo ikitupa, brand new ndula nyonginyo natupa
Walijiona wanaeza vuruga
Nilicock waliburuka
Kwa map map, tuko lakini hatupatikani
Talk, kama ni necessary
Tick ukimove wrong kosea in a circle ni ku-round severally
Saa ya nora rampage ukiwa na paranoia
Naeza hola jipate uko Shakahola
Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.
Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.
Endelea kusoma
SHIRIKI
WACHANGIAJI
Mjadala
Ingia to join the discussion.