MAURU GWASH
Vurugu artwork

Vurugu

45 views
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PROD. BY Jayjay & vlmightysos
WRITTEN BY Mauru Gwash, Toxic Lyrikali
[Chorus] Vurugu ilipita dakika salope ikabidi wamehepa Fala alidigi mchuma kwa toja ikabidi amelenga Dondoka dondoa Mjoro ikitoka, si naitoka Ni mbaru alitokwa Vurugu ilipita dakika salope ikabidi wamehepa Fala alidigi mchuma kwa toja ikabidi amelenga Dondoka dondoa Mjoro ikitoka, si naitoka Ni mbaru alitokwa [Verse 1: Mauru Gwash] Hide identity, nikipiga scene, mi ni felony Gava haijai boost economy Nawashika zote zote mpaka Heroin Mavidevu utahitaji steroids Karibu waninyurie outer ring Mob ilinisunda ndani ya rim Hizo days tulikuwanga wagondi Nilichapanisha m-pepe na kidi Walinyuria jicha wangu R.I.P Mi ni soldier huwezi pata niki-grief Mirista noma na wa-brief Body count zinafanya sina peace Intentions zao counterfit Ndula zangu huwezi fit Kesi zote niko guilt Hide my pride nipige biz Mboka kuwashika na usanii Itaja jipa mtatii Ni kawaida wakisnitch Mbogi yangu hakuna bitch Ni hufanya what I preach Chukua muda kunireach Hawa marapper time kichwa iwa-itch Lazima nitakuwa rich [Chorus] Vurugu ilipita dakika salope ikabidi wamehepa Fala alidigi mchuma kwa toja ikabidi amelenga Dondoka dondoa Mjoro ikitoka, si naitoka Ni mbaru alitokwa Vurugu ilipita dakika salope ikabidi wamehepa Fala alidigi mchuma kwa toja ikabidi amelenga Dondoka dondoa Mjoro ikitoka, si naitoka Ni mbaru alitokwa [Verse 2: Toxic Lyrikali] Wakitrace madem si tuko vurugu na mandem Kadere usizime engine kaa rada tunaweza hepa afande Rezi agande, beba ngito last supper ilikuwa Sunday Bars ni clean, kuwaosha kaa sabuni ya kipande Cock kidale, lakini usimeze kwangu utamwaura Nafanya dem yako ana moan morning anashindwa kurauka Navaanga nyonginyo ikitupa, brand new ndula nyonginyo natupa Walijiona wanaeza vuruga Nilicock waliburuka Kwa map map, tuko lakini hatupatikani Talk, kama ni necessary Tick ukimove wrong kosea in a circle ni ku-round severally Saa ya nora rampage ukiwa na paranoia Naeza hola jipate uko Shakahola

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtContributor
Ian Kiplagat
Ian KiplagatContributor

Discussion

Sign in to join the discussion.