TIPSY GEE
Jalada la Pia Mi Nataka

Pia Mi Nataka

23 mionekano
ARBANTONESwahili, Sheng2025
PRODUSA Vic West
IMEANDIKWA NA Tipsy Gee, Ywaya Tajiri, Onyach Pala, Fathermoh
[Intro] Canvas records Oh yeah, yeah Yah man Yoh! yoh! (Vic twende) [Chorus: Ywaja Tajiri] Oooh leo tuko kioo Hatutaki vita hatutaki war Tuko tipsy na tunaongeza more Oooh leo tuko kioo Hatutaki vita hatutaki war Tuko tipsy na tunaongeza more [Verse 1: Onyach Pala & Ywaja Tajiri] Acha leo zilipuke Zimeshika fiti usikubali zishuke Niko na marafiki na nawapenda bure Hakuna kuchangia mzinga bora tu wanichunge Cheza na rada Onyach Pala Na niko na zigi mingi kwanza za Amsterdam Come nikuchome we’ pia na your madam Walai zimelipuka kama tenje ya Saddam Onyi we’, usipite na dem wa Dorime (Onyi tulia) Usinikulie, ikibidi nibakishie, oh yeah Pia mi nataka, pia mi nataka Pia mi nataka, sherehe inakuwanga ngumu joh kuwacha [Chorus: Ywaja Tajiri] Oooh leo tuko kioo Hatutaki vita hatutaki war Tuko tipsy na tunaongeza more Oooh leo tuko kioo Hatutaki vita hatutaki war Tuko tipsy na tunaongeza more [Verse 2: Tipsy Gee] Ni kama ni kama ni kama mechi ilikubamba Na ukaambia pia mabeshte cheki sa wananitaka, ah Pia mi nataka Makosa ilifanyika, nilitakwa nikatakika Ile kitu nikatandika na bado tu unaniitisha (Pia mi nataka) Mtaka yote hukosa yote so itabaki umechagua Cheki pita na mimi fathermoh ilishaungua Man a Tipsy hata we’ uko sure ukikuja nararua Si unajua mi ni Musa mpaka Red sea napasua Mpenzi mtazamaji Kageuzwa mtazamaji wa mapenzi, itabaki nikate maji Nani leo ndio champe, wapi shangwe? Ni ka silali zabe leo nimepata clande Rukisha gwethe, leo nimepata senje Denge, inabaki hadi mabrathe sema.. [Chorus: Ywaja Tajiri] Oooh leo tuko kioo Hatutaki vita hatutaki war Tuko tipsy na tunaongeza more Oooh leo tuko kioo Hatutaki vita hatutaki war Tuko tipsy na tunaongeza more [Verse 3: Fathermoh] Fathermoh mi sipendi madharau Ningependa kuwa mkale mi sipendi makarao Unangoja chain, pyramids sipendi maPharaoh Nikikuteka sikai sana, fare sipendi fika thao Majimaji rebellion, kumwaga kwa session Kofi nimehata ilipigwa Shebeshe Aliomoka paka ilibidi itembezwe Uko na mimba ulipeana upewe kete Slide, alafu glide Ikiwa soft chai, naizama side Side, ananipenda kushinda main why? Nilipenda nyuma sana nikabackslide [Chorus: Ywaja Tajiri] Oooh leo tuko kioo Hatutaki vita hatutaki war Tuko tipsy na tunaongeza more Oooh leo tuko kioo Hatutaki vita hatutaki war Tuko tipsy na tunaongeza more [Outro] Pia mi nataka, pia mi nataka Pia mi nataka, sherehe inakuwanga ngumu joh kuwacha Pia mi nataka, pia mi nataka Pia mi nataka, sherehe inakuwanga ngumu joh kuwacha

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.