VIC WEST
Jalada la Stage Ya Mwisho

Stage Ya Mwisho

akiwa na Watendawili & Iyanii
1 mionekano
KENYAN POPSheng, Swahili2025
PRODUSA Vic West
IMEANDIKWA NA Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach, Ian Oure Okwemba, Vic West
[Intro] (Vic, twende) Aah! Eeh! Eeh! Thumora Aah! [Verse 1: Ywaya Tajiri] Makosa imefanyika Tenje ilizimika After zianze kushika Kwa bash ya kimataifa Haram! Siwezi kula poko Niko kwa bash imejaa mangoko Tatu mbao, tuko kwa soko Na tumenyanya hatutaki nyoko nyoko Halal! Sembe na arosto Napenda bash imejaa mangoko Tatu mbao, tuko kwa soko Na tumenyanya hatutaki nyoko nyoko [Refrain: Ywaya Tajiri] Tunachana gwethe Tukiskiza rhumba Debe ni debe Bora inachuna Tunachana gwethe Tukiskiza rhumba Debe ni debe Bora inachuna [Chorus: Ywaya Tajiri] Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Hatujatosheka na disco Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Hatujatosheka na disco Iende sana mama yoo [Verse 2: Iyanii] Kwa majina ni Iyanii (Tunakujua) Kwa mbota ni saa tisa Na zangu zimeshika Kilele nimefika Na sioni leo nyumbani nikifika Kumi na nne bora Kumi na nne supuu (Kumi na nne supuu) Kuna warembo huku ndani (Wananiteka na view) Naenjoy the view Fatuma, napenda vitu umebeba nyuma Oh my woman Unanimada bila huruma Ooh! [Refrain: Iyanii] Tunachana gwethe Tukiskiza reggae Doba ni genje Cheza itubebe Na tukitoka bukla Tunaingia mathree Ka zimeshika tumevuta ma-trees Nathani hata nilipoteza keys Na tukizima kigonyi usisahau [Chorus: Ywaya Tajiri] Tushukishe stage ya mwisho (Mama yo yo) Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Hatujatosheka na disco Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Hatujatosheka na disco Iende sana mama yoo [Verse 3: Onyach Pala] Ohh la la la (Pala) Shikamoo! Marahaba Nimevutiwa tenje so siwezi kataa Napiga topa nacheza na idhaa Ni masaa ya kuzitoka ni ka ukona kichaa Tilili lang'lang' Onyach na guitar Inashika mabudeng na insahika mamgala Me, niko na talanta Na siogopi kujigamba Kiburi ni ya mjaka Me hufanya anxiety ikuwe anxious [Refrain: Ywaya Tajiri] Tunachana gwethe Tukiskiza rhumba Debe ni debe Bora inachuna Tunachana gwethe Tukiskiza rhumba Debe ni debe Bora inachuna [Chorus: Ywaya Tajiri] Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Hatujatosheka na disco Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Tushukishe stage ya mwisho Hatujatosheka na disco Iende sana mama yoo

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Onslaught
OnslaughtMchangiaji
stiv
stivMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.