
[Intro]
(Vic, twende)
Aah! Eeh! Eeh!
Thumora
Aah!
[Verse 1: Ywaya Tajiri]
Makosa imefanyika
Tenje ilizimika
After zianze kushika
Kwa bash ya kimataifa
Haram!
Siwezi kula poko
Niko kwa bash imejaa mangoko
Tatu mbao, tuko kwa soko
Na tumenyanya hatutaki nyoko nyoko
Halal!
Sembe na arosto
Napenda bash imejaa mangoko
Tatu mbao, tuko kwa soko
Na tumenyanya hatutaki nyoko nyoko
[Refrain: Ywaya Tajiri]
Tunachana gwethe
Tukiskiza rhumba
Debe ni debe
Bora inachuna
Tunachana gwethe
Tukiskiza rhumba
Debe ni debe
Bora inachuna
[Chorus: Ywaya Tajiri]
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Hatujatosheka na disco
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Hatujatosheka na disco
Iende sana mama yoo
[Verse 2: Iyanii]
Kwa majina ni Iyanii (Tunakujua)
Kwa mbota ni saa tisa
Na zangu zimeshika
Kilele nimefika
Na sioni leo nyumbani nikifika
Kumi na nne bora
Kumi na nne supuu (Kumi na nne supuu)
Kuna warembo huku ndani
(Wananiteka na view)
Naenjoy the view
Fatuma, napenda vitu umebeba nyuma
Oh my woman
Unanimada bila huruma
Ooh!
[Refrain: Iyanii]
Tunachana gwethe
Tukiskiza reggae
Doba ni genje
Cheza itubebe
Na tukitoka bukla
Tunaingia mathree
Ka zimeshika tumevuta ma-trees
Nathani hata nilipoteza keys
Na tukizima kigonyi usisahau
[Chorus: Ywaya Tajiri]
Tushukishe stage ya mwisho (Mama yo yo)
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Hatujatosheka na disco
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Hatujatosheka na disco
Iende sana mama yoo
[Verse 3: Onyach Pala]
Ohh la la la (Pala)
Shikamoo! Marahaba
Nimevutiwa tenje so siwezi kataa
Napiga topa nacheza na idhaa
Ni masaa ya kuzitoka ni ka ukona kichaa
Tilili lang'lang' Onyach na guitar
Inashika mabudeng na insahika mamgala
Me, niko na talanta
Na siogopi kujigamba
Kiburi ni ya mjaka
Me hufanya anxiety ikuwe anxious
[Refrain: Ywaya Tajiri]
Tunachana gwethe
Tukiskiza rhumba
Debe ni debe
Bora inachuna
Tunachana gwethe
Tukiskiza rhumba
Debe ni debe
Bora inachuna
[Chorus: Ywaya Tajiri]
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Hatujatosheka na disco
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Tushukishe stage ya mwisho
Hatujatosheka na disco
Iende sana mama yoo
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.