YWAYA TAJIRI
Jalada la Mniache Nimpende

Mniache Nimpende

2 mionekano
Wingu La MapenziAFRO-SOULSwahili2026
PRODUSA GL
IMEANDIKWA NA Ywaya Eugine Simon
[Chorus] Ata me najua tutawachana Ila kwa sasa mniache nimpende Ata me najua tutawachana Ila kwa sasa mniache nimpende [Verse 1] I know that you're bad for me Ila sikuachili Ni we pekee moyo umekubali Na sihitaji referee Na unajua Hii penzi lako inaeza niua Na bado ni we tu unaeza n'fufua Nadungwa na mwiba kisa maua Ooh na na na [Refrain] It's okay It's okay Usiogope chochote Penye mvua hapa kosi matope Ikibidi turogane wote [Chorus] Ata me najua tutawachana Ila kwa sasa mniache nimpende Ata me najua tutawachana Ila kwa sasa mniache nimpende [Verse 2] Wawili wawili Wawili wawili Wameonana uchi Usiingilie Wawili wawili Ya watu wawili Wameonana uchi Usiingilie Vitu zetu zishaguzana Stingo zako napenda sana Wanatamani si kuwachana Hapa tushamwaga mtama [Refrain] It's okay It's okay Usiogope chochote Penye mvua hapa kosi matope Ikibidi turogane wote [Chorus] Ata me najua tutawachana (Ata me) (Najua) Ila kwa sasa mniache nimpende (Ila kwa sasa) (Mniwache) Ata me najua tutawachana (Ata me) (Najua) Ila kwa sasa mniache nimpende Mniache nimpende ayeye

Ingia na uchague maneno yoyote ili kufafanua mstari.

Hakuna ufafanuzi bado. Tia alama mstari ili kuongeza wa kwanza.

Endelea kusoma

SHIRIKI

WACHANGIAJI

Sergii
SergiiMchangiaji

Mjadala

Ingia to join the discussion.