
Mniache Nimpende
2 views
[Chorus]
Ata me najua tutawachana
Ila kwa sasa mniache nimpende
Ata me najua tutawachana
Ila kwa sasa mniache nimpende
[Verse 1]
I know that you're bad for me
Ila sikuachili
Ni we pekee moyo umekubali
Na sihitaji referee
Na unajua
Hii penzi lako inaeza niua
Na bado ni we tu unaeza n'fufua
Nadungwa na mwiba kisa maua
Ooh na na na
[Refrain]
It's okay
It's okay
Usiogope chochote
Penye mvua hapa kosi matope
Ikibidi turogane wote
[Chorus]
Ata me najua tutawachana
Ila kwa sasa mniache nimpende
Ata me najua tutawachana
Ila kwa sasa mniache nimpende
[Verse 2]
Wawili wawili
Wawili wawili
Wameonana uchi
Usiingilie
Wawili wawili
Ya watu wawili
Wameonana uchi
Usiingilie
Vitu zetu zishaguzana
Stingo zako napenda sana
Wanatamani si kuwachana
Hapa tushamwaga mtama
[Refrain]
It's okay
It's okay
Usiogope chochote
Penye mvua hapa kosi matope
Ikibidi turogane wote
[Chorus]
Ata me najua tutawachana (Ata me)
(Najua)
Ila kwa sasa mniache nimpende (Ila kwa sasa)
(Mniwache)
Ata me najua tutawachana (Ata me)
(Najua)
Ila kwa sasa mniache nimpende
Mniache nimpende ayeye
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.