Dopamine artwork

Dopamine

0 views
To Whom It May ConcernAFRO-POPSheng, Swahili, English2024
PROD. BY Kda Great
WRITTEN BY Nyamari Ongegu
[Verse 1] Tunaget high kujientertain Au kuficha kapain Sema wallahi na unadanganya Life najua itakucane Peace of mind ndio kitu hawana Try kutuliza brain Naficha white nalipwa na fame Najua wanaskia kujimurrr, uh Utaona disguise zikianza kufade Na time utaona tuchange Watatry kusema walikumake Si wangejimake? Patience ya mine, huwaga inafail, Unahaharibu vibes unatupwa njei Unaskia nalight, napuliza jay Najua wanaskia kujimurrrder [Chorus] Days za mine of late, zote ni holiday Mulla ni loong, nacheka na confidence Nakimbiza dopamine najua kuna consequence But, mulla ni looong Days za mine of late, zote ni holiday Mulla ni loong, nacheka na confidence Nakimbiza dopamine najua kuna consequence But, mulla ni looong [Verse 2] Naona masmile, naona maface zingine familiar zingine naguess Blessed vile huwezi amini nimeshinda siku mzima nafinya refresh Fresh narap kaa mimi hakuna mtu mwingine na-try kuimpress Yes, nacheka na nyinyi, nikichezanga chini juu nacheza chess Kwa life ya mine we ni guest Ukitoka jua kuna next Ukiskia tamaa hiyo ni flesh Ukiishiwa jua we ni ex Niko on my grind kaa crusher Naplan hadi time ya kurest Pass bag hii side kaa usher Skia bars, hiyo ni Nairobi West [Bridge] You just wanna feel something (Just wanna feel) Maybeni mimi, ni fame ama nini? Watiaji ni wengi, maflow ni baridi Mashow ni wazimu, madollar ni mingi Nikidai naeza bini ni bini ni bini Ukishakata simu nishashika ingine Mwaka imejaa kwa flyer ni mimi ni mimi ni mimi Ushaona kakitu na hujaona ata kitu Maybe ni mimi ni fame ama nini? Watiaji ni wengi maflow ni baridi Mashow ni wazimu, madollar ni mingi Kwa flyer ni mimi Ni mimi, ni mimi, ni mimi, ni mimi [Outro] Days za mine of late zote ni holiday Mula ni loong, nacheka na confidence Nakimbiza dopamine najua kuna consequence But, mula ni looong

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.