Za Kimotho artwork

Za Kimotho

8 views
Victims of Madness 2.0KENYAN HIPHOPSheng, Swahili2025
PROD. BY Ares66
WRITTEN BY David Munga, Salim Ali, Churchill Mandela
Big beats Afrvk [Pre-Hook: Domani Munga] Ndranya mi nawomborr Mona Lisa Hatuko kwa misa utadhani kanisa Jazana ni ka tuko kwa Nissan Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan Ndranya mi nawomborr Mona Lisa Hatuko kwa misa utadhani kanisa Jazana ni ka tuko kwa Nissan Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan [Hook] Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho Za kimotho, za kimotho, za kimotho, kisparki Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho Za kimotho, za kimotho, kisparki, za kimotho [Verse 1: Domani Munga] Zangu gym na ni grizzling Hadi simu number itakushow ever busy I’m like peas in the pods, siku hizi ni mabizna on rotation (he-he-he) Busy bee, mtu wangu hata haunanga bibi umeshindwa na machizi Nguna kwangu we’ ni madam I hope unang’am Story zangu umeskiza isn’t a false alarm Rakan Kaminya, Rakan Kaminya Denge ka ni peng inabidi nakafinya Sizizaski ka si mristi we’ utajitoa Pimp wake akaniuliza umetibiwa poa? Chics camping Lang’ata huko rowe Rao, senior citizen akalia “aaaahhh” (Chics camping Lang’ata huko rowe) (Rao, senior citizen akalia “aaaahhh”) [Pre-Hook: Domani Munga] Ndranya mi nawomborr Mona Lisa Hatuko kwa misa utadhani kanisa Jazana ni ka tuko kwa Nissan Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan Ndranya mi nawomborr Mona Lisa Hatuko kwa misa utadhani kanisa Jazana ni ka tuko kwa Nissan Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan [Hook] Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho Za kimotho, za kimotho, za kimotho, kisparki Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho Za kimotho, za kimotho, kisparki, za kimotho [Verse 2: Sewersydaa] Nat is up on the rock nikiskizia kicongo Sanif’d by yours truly, Mr Odongo Usikuwe na za ovyo, cheki kando usichongoe chongo Bado fuck mapopo na ni nani ana-oppose yoh! Ita Uber bas, public figure situmii Nissan Na sitembeangi na mask nishajua kumonitor Lizards Ushaijipata imeshika hadi ukaskia kutoa mpira Usiwahi, ka hutaki kuwa mziza Makarao, hawakucheki fiti Hawakujua niko na safe hadi kwa ceiling “Hi, hi” hivi, siwapatii hata shilling Ka ni perfect we’ jua imepitia mawhips mingi Siblinkingi mimi tunakodoa ni ka tuko meeting Ka nilikufunza kufish kwa pond yangu unafanya nini? Desparate ile design uko na ounce hauna zigi Hauna bro hauna siz, we’ ndio the only kiddy [Pre-Hook: Domani Munga] Ndranya mi nawomborr Mona Lisa Hatuko kwa misa utadhani kanisa Jazana ni ka tuko kwa Nissan Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan Ndranya mi nawomborr Mona Lisa Hatuko kwa misa utadhani kanisa Jazana ni ka tuko kwa Nissan Tumejazana ni ka tuko kwa Nissan [Hook] Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho Za kimotho, za kimotho, za kimotho, kisparki Za kimotho, za kimotho, za kimotho, za kimotho Za kimotho, za kimotho, kisparki, za kimotho [Verse 3: Scar Mkadinali] Gotha tena, alafu pause Ukisonga wa kwanza unatoa soo Baki hapo ni ka umekula kiapo Bonga shit na niende na key ya choo Beep mi ma’, si shida, eat dinner sipping that Cheap liquor, Dick jinga, hips zina shi-shiver Love you for the whole year, I am not a weak nigga Bado mi naulizia, mnajua bei ya shekilla? Aliuliza, what happens if we go broke? I told him stay away from me with those jokes Haloooo!, ngaus imefika (Sshh! cheza chini bro, uko loud speaker) DJ mmoja kila siku utakosa stress Upige picha na gun, you don’t pose a threat Vitu tunasell, zinatu-affect Nampenda juu ya pussy amekuwa pet

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.