
[Intro]
Joh!
Yoh, yoh
Zzero
Kama sos me ndio sos
Mi ndio boss mi ndio
[Verse 1: Zzero Sufuri]
Si lazima remote na tenje so unaeza icut
Hupenda kupanda uber lakini nduthi ni fast
Leta kwanza ikiwa neat
Tot ya kwanza ipige flash
Dj kauchezi gotha tunajimaliza kwa bash
Ukijileta kwangi si lazima, sio must
Ukwaga nimekudigi, ukwaga nime ku-crush
Uskii naanza na mwanzo na waachia wa last
Si tulishaingia future tumewacha wako past
Twende..
Ati duck ndani ya gari iyo ni tough
Ushapatiwa mic mbona tena uanze ku-shout?
Si ndio bado tuna trend hatuifanyi juu ya clout
Unabonga kwanza sana ka huwezani shut your mouth
Huskii mi huroll with some good shawrrys wenye wako na class
Huskii wako na doh ni wa supu waki blush
Nimekanyagia stash, watu hubleki wakiwa bash
They thought they saw me coming, but I left them on a flash
Twende
[Chorus: Zzero Sufuri]
Otero
Huskii hadi kukinyesha siezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Huskii hadi kukinyesha siezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Otero, Otero, Otero, Otero
Otero, Otero, Otero
[Bridge]
Kimoda kimoda kimoda
Kimo.. kimoda
Kimoda kimoda kimoda
Kimo.. kimoda
Kimoda kimoda kimoda
Kimo.. kimoda
Mmhh, mboka doba
[Verse 2: Toxic Lyrikali]
Nang'ang'ang'ana kuingiza box machura
Mi na unbox mandula
Either way zote ni ndula
Otero juu yangu naskia ulienda ushago
Tuki drop zero gravity doba inabaki top
Vimoda, kahatukubambi unaeza enda nje ya border
Vimoda nikiwa mless hungepata nimekopa
Thukuma, chemba, chuma planyo lina na copper
Manyongi nimechangachanga initolee ingine moja
Siwagotei backstage ju walidai mi ni wa wave
Kaa nina mambo na wewe mi nakutrace
Ukinikanyaga na nanukisha, mi ndio the shit
Main stage solo, backstage tuko kaa mtu soo
Nakuwanga nimemeza roho
Chocha nikupige ma O
World boss tuko na Zzero na ni wa Ras fao
Tunaball juu ya hao ma O
Siingii box ya ma whore
Si wangu so ye si ex
Triangle, through kwa bro
Juu mi ni Otero
[Chorus: Zzero Sufuri]
Huskii hadi kukinyesha siezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Huskii hadi kukinyesha sieezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Otero, Otero, Otero, Otero
Otero, Otero, Otero, Otero
[Outro: Zzero Sufuri]
Huskii hadi kukinyesha sieezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Huskii hadi kukinyesha sieezi tembea na umbrella
Mi huskia ka niko Amero, juu mi ni Otero
Otero, Otero, Otero, Otero
Otero, Otero, Otero, Otero
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.