WATENDAWILI
Bariki Wengine
PROD. BY Kobby Worldwide
WRITTEN BY Ywaya Eugine Simon, Edgar Israel Onyach
[Verse 1]
Shamba la mawe kupata mapenzi ya ukweli ni kibarua
Kweli Mungu ulinibariki
Wengi wazuri wanapendeza ata zaidi ya maua
Mungu kanipa mie rafiki
[Chorus]
Bariki wengine waweze kuskia tunavyoskia
Namposti ananiposti hatuogopi kutangazia dunia
An aheri pile chunya nigi kwe nimetulia
My peace of mind take my heart ikue your souvenir
Ju hata jambazi sugu anapendwa aah
Hata shetani Mungu anampenda aah
Hata jambazi sugu anapendwa aah
Hata shetani Mungu anampenda aah
[Bridge]
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
[Verse 2]
Aliyekuwacha ajue simpendi
Ila mi namshukuru alifanya tukapatana
Usiku nikilala mpenzi wangu ako na mimi
Hana taabu sina taabu saa zingine siamini
[Chorus]
Bariki wengine waweze kuskia tunavyoskia
Namposti ananiposti hatuogopi kutangazia dunia
An aheri pile chunya nigi kwe nimetulia
My peace of mind take my heart ikue your souvenir
Ju hata jambazi sugu anapendwa aah
Hata shetani Mungu anampenda aah
Hata jambazi sugu anapendwa aah
Hata shetani Mungu anampenda aah
[Bridge]
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
[Outro]
Ayie kodi mama
Ayie kodi
Baby moyo wangu ayaoni
Ayie kodi mama ayie kodi
Baby moyo wangu ayaoni
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.