YWAYA TAJIRI
Likizo artwork

Likizo

1 views
Wingu La MapenziAFRO-SOULSwahili2026
PROD. BY Hendrick Sam and Wuodomollo
WRITTEN BY Ywaya Eugine Simon
(Wuodomollo) [Verse 1] Nakumbuka nikiwa mtoto mdogo Nilitamani mapenzi Kama zile zilizo kwa cinema Nilidhania ni kweli Oneni sasa mimi mtu mzima Nimevunjwa na wengi Na kuna wengi nimewavunja pia Ikageuka makesi [Refrain] Usiku wa manane Nimechukua jembe Naenda kuchimba shimo Niuzike moyo wangu Mwenzenyu mi siwezi Nimefikia mwisho Kwa mambo ya mapenzi yoooh Ni kama nimefeli [Chorus] Moyo wangu Naipa likizo Sioni kama ntapenda tena Ni hivo Moyo wangu Naipa likizo Sioni kama ntapenda tena Ni hivo Ni hivo [Verse 2] Kuna masiku karibu nichizi Juu ya kubeba mawazo Nilimpenda mtoto wa mtu Akanigeuza mfano Alinicheza akanisaliti Akanitoa machozi Kanionyesha kivumbi cha jangwa Huzuni mingi moyoni, yo yo Usiku wa manane Nimechukua jembe Naenda kuchimba shimo Niuzike moyo wangu Mwenzenyu mi siwezi Nimefikia mwisho Kwa mambo ya mapenzi yoooh Ni kama nimefeli [Chorus] Moyo wangu Naipa likizo Sioni kama ntapenda tena Ni hivo Moyo wangu Naipa likizo Sioni kama ntapenda tena Ni hivo Ni hivo [Outro] Moyo wangu (moyo wangu) Naipa likizo (naipa likizo) Sioni kama ntapenda tena (sioni) Ni hivo Moyo wangu (moyo wangu) Naipa likizo (naipa likizo) Sioni kama ntapenda tena Ni hivo Ni hivo

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiContributor

Discussion

Sign in to join the discussion.