KAPITANI
Shing artwork

Shing

169 views
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PROD. BY ZJ Jojez
WRITTEN BY Zien Kapitani, Toxic Lyrikali
[Intro] Yeah, inarekord kweli? (We Global Music) Yeah Yeah.. Cheki, yoh [Verse 1: Kapitani] Kwetu ku cute masaa mbaya kuna get ugly Ati mtatu-round izo ni jokes za Charlie Chaplin Trust me, tunajiuliza mtafika saa ngapi? Mokoro akienda party anatuletea pilau inabaki Ona matisho si unadeal na magirimba Huezi tupima ujanja na utupime ujinga Tunakutokea ni ka unapeana mafuta na unga ya ngano Fala ana vitisho ni kama amekuja kuona mpira (like that) Just like that… Nabonga ghetto ama people like that Mi nimesweatia fi everything I got Tuliza pupa ama ufinywe ka mkebe ya makaa [Chorus] Ujue nimejipin, ujue nimejipin Nani alikushow utauza bangi huku hivi Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku East Ujue nimejipin, ujue nimejipin Nani alikushow utauza bangi huku hivi Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku hivi [Verse 2: Toxic Lyrikali] Side giza ni advantage na jua huchomokea Niko njei magiz ni ka na suffer imsomnia Chuom ni ndogo na ukiingia unatoshea Kesho kesho mchana utashuku wenye wanaroria Njege akiwa solo, kikitu inapotea Kuigisia ni kusota na nahofia mahoe pia New in town na tunacause pneumonia Raia atakutetea lakini choche nitakuotea Vijana wa nineteen sitini Tulikuwa wa kwanza hadi kwa mpilili No silly move we active kama Eastleigh Jeshi kama kambi na nikiwa solo sikimbii Si ma para nikikushow iko kwa kichwa Paria paria za maingwa tuna-adisika Usinitaje hatuko rika moja na ujatajirika Nikikunywa liquour, nabadilika [Chorus] Ujue nimejipin, ujue nimejipin Nani alikushow utauza bangi huku hivi Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku East [Verse 3: Kapitani] Eeeh, juzi tutry ka kiatu mpya Maboy wako unenge ni unga tunaskuma Kuna namba nkidunga tunakuja kuwadunga Mrazi ka Free Kick venye tunampura Kitu ingine habana cheza na hesabu Ju unaeza pigwa jeck ni ka unapandishwa mariamu Ata ningekuwa Shiti, sina masaa ya kuchekesha watu We ni Kang’ethe tafuta mahali utauzia nyaru Mangwai kama Shh-sh Yangu nipakie bugizi Mi hurogwa na mangoko na masianda na malyrics Mrazi apatwe beating, we labda sleepers Sai najua utokee na kidiii [Chorus] Ujue nimejipin, ujue nimejipin Nani alikushow utauza bangi huku hivi Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku East Ujue nimejipin, ujue nimejipin Nani alikushow utauza bangi huku hivi Ni utoe za shake ama mavijana wataku-shing Khumundu khumundu hakuna mrahisi huku hivi

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiContributor

Discussion

Sign in to join the discussion.