← SHENG
what does karao mean?
1 REPLY · 0 · ASKED BY @SERGII
SERGII · GWIJI

Karao means police

FROM THE MUSIC

Judge A, Lawyer B, na karao walipata C minus

Economy ya karao ni mahongo

Karao alihate mabro walirelate, ju ni ma pro marijuana

Karao anachunguza nini hio inastink

Makarao watapiga na pingu na do biz na machinku