
Ex Wangu
2 views
(Run)
[Verse 1]
Jua linatua siku yangu siwezi maliza
Kabla sijakuona
Mama
Hayawi hayawi huwa
Mpenzi wa kishua siko sure
Kama waja je waja je waja
Oh baby bisous bisous
Natuma mabusu
Penzi langu usiwahi kuishuku
Salaam aleikum naskia fununu
Bado wanipenda
Pia mi nakupenda
[Chorus]
Ni heri shetani unayemjua
Kuliko malaika usiyemjua
Narudia ex wangu
Ni heri shetani unayemjua
Kuliko malaika usiyemjua
Narudia ex wangu
[Verse 2]
Streets ni chafu kutongoza pia ni kazi
Heri nimrudie anayenijua kindani
Pia mi namjua zaidi ya kumfahamu
Chanda ye pete me nimemjua tangu
Penzi wangu natuma salamu
Nakuandikia barua wino nimetumia damu
I wish ungeza ona kwa macho zangu
Na uhisi hisia zangu I hope unafahamu
Hii ni real love baby pokea salamu
Ningesema mengi ila wino
Imenishia kalamu damn
[Chorus]
Ni heri shetani unayemjua
Kuliko malaika usiyemjua
Narudia ex wangu
Ni heri shetani unayemjua
Kuliko malaika usiyemjua
Narudia ex wangu
[Outro]
Mniache nirudi anasema
Baridi ya muua
Namrudishia sweater niliochukua
Mniache miee
Sikai hapo ila akisema baki nitabaki
Mimi ni wake
Ijulikani, nataka sitaki
Nataka sitaki
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
Keep reading
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.