Naogelea artwork

Naogelea

9 views
HekayaAFRO-SOULSwahili2026
PROD. BY Run
WRITTEN BY Eugine Simon Ywaya, Edgar Israel Onyach
[Verse 1] Nakubali yote mashtaka Penzi lako siwezi kuficha Mrembo wangu kweli unang'aa Ona hadi jua haiwezi kupinga Macho gololi ameniteka moyoni Bei ya jioni umenitoa sokoni Wanashangaa mbona hawanioni Nimepotelea mtoni Wanashangaa mbona hawanioni Nimepotelea mtoni na mpenzi wangu [Chorus] Aah naogelea naogelea ndani Aah naogelea penzi letu ndio bahari Aah naogelea naogelea ndani Aah naogelea penzi letu ni bahari [Verse 2] Akicheka nacheka pia Akilia nalia Si ni ka si ni ka mapacha Amenipata nimempata Twazidi kula bata Huku kwetu kuna furaha Tunazidi kupendana Leo zaidi ya jana Ona tushangoa nanga [Chorus] Aah naogelea naogelea ndani Aah naogelea penzi letu ndio bahari Aah naogelea naogelea ndani Aah naogelea penzi letu ni bahari [Outro] Naskia poa nazidi skia poa Naskia poa na bado hatuja oana Naskia poa nazidi skia poa Naskia poa na bado hatuja oana

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.