COLORADO
Fake People artwork

Fake People

14 views
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PROD. BY Eyoh Jay
[Intro] Yeah man Eyoh Jay let's light these streets up Colo, Colo, Colo, Colorado Yeah man [Chorus] Vile nawazoza wanadai kunirithi Sina dumba na situmii korithi Valiwa suti ka we ni msaliti Naseti kingwariti ni kuchuja hawa mangati Vile nawazoza wanadai kunirithi Sina dumba na situmii korithi Valiwa suti ka we ni msaliti Naseti kingwariti ni kuchuja hawa mangati (yeah man) [Verse 1] Aaah! hawapendi nikimeki Niko kwa jam nawaoverteki (overteki) Machungu mandugu manugu (warazi) I'm blessed my life iko kwa Mungu (kwa Jah Jah) Nadai nikuwe rich lifestyle za kizungu (ya ki baller) Niko kwa ground nilichorea vurugu Wanasema mi ni killer na mi ni drug dealer Mi si Billy Gates nikulipie ma-bills Nakuzimia mataa nikuache kwa giza Hizi area mafala kuwaigiza Nikukanyaga walai sisemi iza (nimebonda) Deadboy alitoshea kwa freezer Nadai niball kama baller (baller) Ni roll na macash na madollar (na madollar) Mashow ni perform hadi mayola (mayola) Maconnection ni brand iko kwa collar (yeah man) Ferrari Benz na ma Beamer (Beamer) Gucci Nike na Adidas (Adidas) Silver, ice na magoro (magoro) Ki-mansion nijengee mokoro (my mum) Nipewe passport na nipewe Visa (Visa) Ka ni shuksha pilau ama pizza (yeah man) Good life with a good wife (good life with a good wife) [Chorus] Vile nawazoza wanadai kunirithi Sina dumba na situmii korithi Valiwa suti ka we ni msaliti Naseti kingwariti ni kuchuja hawa mangati Vile nawazoza wanadai kunirithi Sina dumba na situmii korithi Valiwa suti ka we ni msaliti Naseti kingwariti ni kuchuja hawa mangati [Verse 2] They wanna see me ending in a prison (prison) Heartbroken with a fake smile (smile) Back bitter nawakata (nawakata) I'm a man I was born as a fighter No stress hakuna matata (hakuna) Ghetto boy na vako za kismarta (za kidollar) Top of the table na mi ndio top shotta (top shotta) Niko mteja sibongi na ma-stranger (warazi) No advice sidai hizo favour (sidai) Money pon my mind kadailer mi na grind (mi na grind) Dream chaser na chase ka ni pesa (ka ni money) Mama raised no fool (mi si fala) Niko hapa niwa prove wrong (niwa prove) Ever ready niko strong (niko fine) I don't know why demma pre me (wana kaza) Kila ngori watasema ni mimi (na si mimi) Na walai bilai sio mimi (sio mimi) Walai sio mimi (walai sio mimi) Ni Colorado (ni Colorado) Ni Colo.. [Chorus] Vile nawazoza wanadai kunirithi Sina dumba na situmii korithi Valiwa suti ka we ni msaliti Naseti kingwariti ni kuchuja hawa mangati Vile nawazoza wanadai kunirithi Sina dumba na situmii korithi Valiwa suti ka we ni msaliti Naseti kingwariti ni kuchuja hawa mangati

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiContributor

Discussion

Sign in to join the discussion.