KAPITANI
Mimi artwork

Mimi

47 views
KENYAN HIPHOPSheng, Swahili, English2026
PROD. BY Fyat & 1Thermo
[Intro] Fyat Yeah, yeah Ina record kweli? Yeah, yeah Naishift music [Verse 1] Mko na story yenu lakini ya morio ndio naamini Kuna kitu haitakangi kuskia wikendi maini Beat na imada na wanakosa mwili Game ni tamu najituma silalamiki Sikupendi sikufichi Uko na mali niko na waristi Mi ni bully unashangaa mbona siulizwi Pair tatu za boxers na ni mvua nne hivi What you do with that information is up to you Nawatoa kijiko watoi wapate silver spoon Bad boy tomba rules, avoid fafu I speak my truth, I don't know about you Hatupatani kama right and left Shughuli hainisaidii niko na right ya ku-left Ukinipima ni delete and forget Hakuna mtu na hitaji mi 'ntakufa na hii shiet [Chorus] Juu huyo ndio mimi Wenye wananijua wanajua huyo ndio mimi Look fiisa, sikosi Kiswahili Bling silver na tattoo kwa wingi Juu huyo ndio mimi Huyo ndio mimi Wenye wananijua wanajua huyo ndio mimi Look fiisa, sikosi Kiswahili Bling silver na tattoo kwa wingi Juu huyo ndio mimi Huyo ndio mimi [Verse 2] I'm dat nigga Kidole kwa trigger Bullet ya kila mtu except the man in the mirror Hii ni movie, thriller Pesa, sina Kucheza na mboka yangu ni kunikosea heshima Niko na madimanga na hitaji mtu wa mkono Mfisa na maringo kidogo Plugger ni hupurura stocko Hawatakimbizana tangu mondo Huku ni kwangu na mtakaa venye nasema Karibu nishikwe na matire nikazimeza Mbato hamfai kunielewa Nawapea till venye kunaenda It's a one man show, venye pesa iko na goal Niko na career ina grow Usiniite shugla haina doh So what nimefuck so and so Flow iko na virusi labda uiguze na gloves [Chorus] Juu huyo ndio mimi Wenye wananijua wanajua huyo ndio mimi Look fisa, sikosi Kiswahili Bling silver na tattoo kwa wingi Juu huyo ndio mimi Huyo ndio mimi Wenye wananijua wanajua huyo ndio mimi Look fisa, sikosi Kiswahili Bling silver na tattoo kwa wingi Juu huyo ndio mimi Huyo ndio mimi Fyat! (Naishift music)

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.