Bud Flowers artwork

Bud Flowers

4 views
RoteenKENYAN HIPHOPSheng, Swahili2025
PROD. BY Vlmightysos
[Intro] (Mboka, mboka doba) Very bad Labda flowers nikupatie za bud Macho ni battery low na nikikuona na feel glad Na ku protect ka bloods Raha yako na plus Teacher napenda venye uko na class [Chorus] Kila saa mi nakubembeleza Ju una ni pendeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Kila saa kunishuku mnisa na tembeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Nakubembeleza Ju una ni pendeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Kila saa kunishuku mnisa na tembeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza [Verse 1] Na vuka bumps na speed ndio niskie sauti ya manyororo Mnyonyo ananituliza na sauti nyororo Vulai na bado ye ndio dem yangu wa ndoto Cold na unakulia nani moto ju ya mboto Na uyo alikuanga fan we ubaki kua mamah Uskai doubt kwa macho yangu we kifaa Wamenikufia najua wananidai Heri ni dedi kama si wewe nakataa Umeniita nimekuja first na sijakuja na ndege Mambanati nionyeshe hao mamwere Wanani haribia sifa kama siko na wewe Na we ukona mimi ama nikuache uende [Chorus] Kila saa mi nakubembeleza Ju una ni pendeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Kila saa kunishuku mnisa na tembeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Nakubembeleza Ju una ni pendeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Kila saa kunishuku mnisa na tembeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza [Verse 2] Tukikosana mi hufeel nika dunia inadai kunimeza Uko in my future plans front seat kwa Impreza Marezi wako nawarudisha home running na one shoe Kwangu wakijifanya Cinderella Lamba glucose vumilia Siezi taka kuona machozi na natoka kulia Mabega unaeza lalia ukifeel low Nikukatsia Tenje unanizimia Uzuri niko rada nakusundua kila chuom [Pre Chorus] Very bad Labda flowers nikupatie za bud Macho ni battery low na nikikuona na feel glad Na ku protect ka bloods Raha yako na plus Teacher napenda venye uko na class [Chorus] Kila saa mi nakubembeleza Ju una ni pendeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Kila saa kunishuku mnisa na tembeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Nakubembeleza Ju una ni pendeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza Kila saa kunishuku mnisa na tembeza Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza [Outro] Ghetto ni one girl Kila saa Mnisa Ghetto ni one girl Ghetto ni one girl Kila Mnisa Ghetto ni one girl

Sign in and select any words to explain a line.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.