TOXIC LYRIKALI
Sick artwork

Sick

RoteenSheng, Swahili, English· 2024· 3 views
PROD. BY Prodbychris
Mboka [Chorus] Sick style Tapika nika nikona nausea Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears Ukikuja near na sijui nia nakufagilia Si fear ju dunia hua sphere Wana sifia doba ya kwangu ikipumua kwa Pioneer Siezi wa carry wakidandia career Drip kama tears za Vybz Kartel Fisher man nimewashika kwa net East side ukitusue ongeza sue mbele suicide Kiburi nishai chimba kaburi big pride Real life ka kipindi hii side Suicide kuthigitha E Side Ukitusue ongeza sue mbele suicide Kiburi nishai chimba kaburi big pride Real life ka kipindi hii side Suicide kuthigitha E Side [Verse 1 Bare ya right Ukizua na beast kuhusu rights Ka chengerere ukisumbua ndio naku tight Combined uku mkia uenda adi na line Ju ya ngwai zimeshika ka skinny jeans Ufiki hii ligi kama ufikiri Waezani so OB ndio plan B Eliminate kama usaidi side hii usaidi side hii Songa kando kwanza we pickney Na attract chura yako na si meda ati dick print Wameingia chupa ju booster alipigwa tingli Kucheza mei niwai za kusiaga mahindi Ni cross nikutandaze msalaba Flat tandaza Matendo akuna mjadala Kill pang'ang'a ki pharmacy nimejaza madawa So nieke na rada ukiona mambanga nadai ng'a da Na kill pressure nika nikona puncture Kaza belt ju ya chuma si sag ka diaper Nilisha wahisia mapema hao ma viper Kuskuma gunga pia ni ku grind grinder Ka uezi arc io mechi na noa Siezi ku ghost na depo mbona unagoa goa Ki Saf naeza kuchai na bado nakuokoa Utakojoa ukijiaribu kuroroa Ni kipindi ju jicha aliruka na ngito kwa balcon Hii si holy ground usivulie njei sandles Siwaingizi mkebe si kwa box ama carton Msako ya east yuts wako picked random Si compete na bado akona machungu na mimi Ju ni wa pili pili Usilete uku mafeelings Seki seki utasekiwa maupini Nina jeshi nina waumini [Chorus] Sick style Tapika nika nikona nausea Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears Ukikuja near na sijui nia nakufagilia Si fear ju dunia hua sphere Wana sifia doba ya kwangu ikipumua kwa Pioneer Siezi wa carry wakidandia career Drip kama tears za Vybz Kartel Fisher man nimewashika kwa net East side ukitusue ongeza sue mbele suicide Kiburi nishai chimba kaburi big pride Real life ka kipindi hii side Suicide kuthigitha E Side Ukitusue ongeza sue mbele suicide Kiburi nishai chimba kaburi big pride Real life ka kipindi hii side Suicide kuthigitha E Side

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught Wawesh
Onslaught WaweshAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.