← SHENG
what does mbleina mean?
1 REPLY · 0 · ASKED BY @SERGII
SERGII · GWIJI

Mbleina means an uncool/lame/wacky person

FROM THE MUSIC

Mistake ya kwanza mbleina alifanya alikam kimala mala

Mbleina alikulwa toja, toki, talker, coppеr na koti

Mbleina alishandwa jikoni kwa keja utashindwa ni damu ama Peptang

Sipendi mambleina mambleina mi huwablock

Mbleina si ukapige report, nangoja kukuskia kwa "Gidi na Ghost"

Mbleina kwa sisi tunachomanga picha

Mbleina namtoka