Euphoria artwork

Euphoria

6 views
RoteenKENYAN HIPHOPSheng, Swahili, English
PROD. BY vlmightysos
[Intro] Mboka doba Man a T.O.X [Chorus] Sina worry worry worry worry Worry worry worry Mi ni warrior Wana boronja sana tukipatana Inakua ni euphoria Sijakaza na bado na waroria Bad mind nawakulia ma shawrie wao Boronja mtandao finyiwa kwa ground Na inabaki kua anonymous No worries worries worries cause I'm a warrior Wana boronja sana tukipatana inakua ni euphoria [Verse] Dim dim nika nimewasha hazard Niko 1960 na bado nimeenda gwadha sana Ju ya sana ya unisa Warithiki mi si wa kubahatisha Ni mbuda na ana jisaidia na jina yangu ka poti Paka ya maisha na tisa na tamabariza na dogi Mana T naongeza Rick ataka ni ku wacon tuwarowese na moti Na jua ni teo ukiulizwa ni saa ngapi chunga neck After jua imedim tukiumana si sio friends Mmmh sidhani ka una relate Kukua G sidhani ka una relate [Chorus] Sina worry worry worry worry Worry worry worry Mi ni warrior Wana boronja sana tukipatana inakua ni euphoria Sijakaza na bado na waroria Bad mind nawakulia ma shawrie wao Boronja mtandao finyiwa kwa ground Na inabaki kua anonymous No worries worries worries cause I'm a warrior Wana boronja sana tukipatana inakua ni euphoria

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.