Long Story artwork

Long Story

0 views
RoteenKENYAN HIPHOPSheng, Swahili2025
PROD. BY Beat Kidd
[Intro] Yeah Ule boy alienda wapi? Skiza Mboka Doba [Verse ] Makelele kwani nani anabisha? (Nani anabisha?) Kuenda kucheck landi na vifuli sita Ananishow keja anadai kutinga Nigrab kenye nataka nisafishe nikimaliza Aai, "Si tulielewana Monday?" "Apana, akili nimebadilisha We safisha beshte yangu anadai kuingia" Nikaenda kwa jirani yangu ye upenda beer Akaniserve tiabe although pia ye ako chupri After dakika nane nikaenda kutafuta shugli Kupatana na beshte akanishow twende hivi Tukiwa njiani morio naona mbogi Naskia huyu boy ndio alinitoka tenje Na ju wako mbogi ni trr toka teke Rudia kikosi tutrace hao masenje Walinigeuzia so tuliwatoka matenje Tusha wamocho nimepunguza mawazo Sina doh ya ng'ondo sa nikuuma vako Ndio nimalize stress nikaingia studio Nikapatana na Chloe na VK kwa studio Stevo akarecord doba inaenda walai ananidai Ilitubamba tukaenda home five Kufika area tena ni stress walai Sina doh so kenye akili inagonga ni crime Natafuta kwa kulala na beshte yangu headbad (Beshte yangu headbad) Before niende kudoz tuingie mission moja wagwan Tukatrace mhesh flani ukua paper Mansion bwaku joh unaeza potea Ndio anatoka wera so nikumtegea Gate wakifungua pole pole ingia Ju kuna giza hawakutuskia Akaona njia iko wapi kwa dirisha Hao sisi ingia nikuhepa familia Si tunataka tu ile safe wausundanga ma mia Wale maboy tulitrace walitufuata Ju tuko on si maboy waliogopa So ikabidi waende wakataje backup Usidhani ni mbogi imagine ni mambanga Walisnitch tukiwa scene na ni sin Tena ni trr toka teke Mansion ni bigi tafuta exit yoyote Tension imejaa ju ya siren uko nje Roho ya kwangu inadunda du-du Masanse pia wako nyuma watuachi si udu Kidogo tena gunshot one two Kugeuka naona beshte yangu amelazwa kwa pool, ya dibla Tena stress zimenishika Biz imechomeka na saka kwa kujificha Wakanikosa ikabidi wameingia Kujisundua rada naangalia Nikatoa mask nikaichomea kwa njia Na hio riba mi nikanyamazia Ju mi ni ndume so hakuna kulia Inabidi kilio ndani joh nimekazia Nikakumbuka na nikafikiria Nikaenda kudoz kwa beshte yangu joh wa kanisa After that tabia nikabadilisha Sa mboka ya doba ndio nadai kuingia Ni long story na ni ngori skiza story Ni long story na ni ngori bro skiza story Ni long story na ni ngori skiza story Ni long story na ni ngori

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.