Itoka Ilitoka artwork

Itoka Ilitoka

4 views
MatenjagwoKENYAN HIPHOPSheng, Swahili2026
PROD. BY VTR Beats‬ & Boutross
WRITTEN BY Peter Matenjagwa Waweru
[Intro] Yow Crazy Wooo What you say my nigga Wasted Gang man Toinoke [Verse 1] Hesabu zote major niletee hesabu bila minus Nirudie na ki TY kwa news headliners Kanzu na leso ziko na heshima mbili tofauti Bazuu kwa meso na tukipatana hatoi sauti Usiharakishe siku zako za kupelekwa ushago na suti Hii game vile tumeidraft hapa kuna msee atakula kabuti Nikiimba coast kuna masaa hukataa kuna masaa utiii 5 star hotel naingiza jeshi yangu ya manyanguti Miaka 50 na unamiss kubehave, zeeka na adabu Ahead of my time kuna idhaa mi hucheka na mababu Wasanii wangapi unaskia tumewa, fundisha adabu Ata wengine ni bure tu, nakudiss bila sababu Mi ni ule chizi alirogwa tena so kwa baseline naeka sauti ya masoprano Mi ni ule fisi inachagua tu gender so ata ka ni kienyeji bado mechi ni mauwano Head boy, nakuhеshimu nakuwashia master tano Lakini hii strain ni wazimu, mastutter no Sema chini ya maji, tuko ma orangе kush bar no Nikiwa highschool, mi mwenyewe nilikuwa najipatiaga pano Hakukuwa na mneti nikiwa myoung, so nilitoboa ukuta ya jirani nijiwatchie porno [Pre-Hook] Nafanya vitu mi mwenyewe najiogopa Nachoma picha hadi sheto anatoroka Na kuna lafa zake pale kuropoka Nasikia amejipin nini? ati kishoka [Hook] Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka [Verse 2] Niko na Kamene ndani ya benz, tunaandikie Mercy diss Kuna wenye inawauma lakini manzee we jua hii si diss Hii ni ya kuongeza some streams na kuuzanga tu CDs Hii si yangu si vis, but bado inawachomeanga CVs I'm the first nigga mwenye huwatokea na right man leftie Na kila time nikitokea marapper wanakimbilianga to safety M-pesa weka password, ama nikushow vile nimejipin Mi huchafua show ndio at least rada yangu ikuwe clean Wanauza uwoga halafu wanapata manzee sisi si wasitiri Wanageuza lugha alafu bado wanapata manzee sisi si watiri Kunisikiza haitaji masikio pekee, lazima akili Tukikusikiza uko na mdomo pekee unaisikizia kwa mwili Akuna kitu mi huduu, mi husurvive for a living Na kuna time mi hujiduu, lazima ni arrive ndio wabelieve me Zimenishika adi mi mwenyewe, sijui what I'm on But niko very sure this time I'm on my on [Pre-Hook] Nafanya vitu mi mwenyewe najiogopa Nachoma picha hadi sheto anatoroka Na kuna lafa zake pale kuropoka Nasikia amejipin nini? ati kishoka [Hook] Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka Bombo claat, patana na itoka

Sign in and select any words to explain a line.

No annotations yet. Highlight a line to add the first one.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Sergii
SergiiAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.