MEJJA
Mboka artwork

Mboka

1 views
Mtoto wa KhadijaGENGESwahili, Sheng2026
PROD. BY Sappy
WRITTEN BY Major Nemeye Khadija
[Intro] Ah, ah, ah Okwonkwo Sappy, Sa-Sappy Yoh! [Verse 1] Niko busy huwezi nipata kwenye cellular Tumbo haina haya kila saa inataka kukula Buda usisote manze tumia hio medulla Piga mboka, piga mboka, piga mboka Mi ni hustler, hujai jua Naeza uza ice, ka kuna mvua Hustler mbaya nakuambia najitambua Piga mboka, piga mboka, piga mboka [Chorus] Matha anataka doh, mtoi anataka doh Sherehe inataka doh, msupa anataka doh Ndio napiga mboka mboka mboka Buda piga mboka mboka, wollan! Matha anataka doh, mtoi anataka doh Msupa anataka doh, sherehe inataka doh Ndio napiga mboka mboka mboka Buda piga mboka mboka, we! [Verse 2] Mi huenda Gikomba nachukua nguo ya chwani Naingia nazo tao nawashika two chwani Bora nipate doh, doh, ganji Doh, wollan! Nikikosa kazi ya ofisi Mi nauza mboga nawashika Marikiti Ama kamagera nishike hapo Kamukunji Bora nipate doh doh doh doh doh, yoh! [Bridge] Hmm, single dad nawacheki Mkihustle nawacheki big up Single mom nawacheki Mkihustle nawacheki big up Ghetto yout nawacheki Mkihustle nawacheki big up Family man nakucheki Ukihustle na- yoh! [Chorus] Matha anataka doh, msupa anataka doh Sherehe inataka doh, mtoi anataka doh Ndio napiga mboka mboka mboka Buda piga mboka mboka, wollan! Matha anataka doh, msupa anataka doh Mtoi anataka doh, sherehe inataka doh Ndio napiga mboka mboka mboka Buda piga mboka mboka, wollan, yoh! [Post-Chorus] Yeah, check Genge livity, Genge livity, Genge livity Wollan, yoh yoh! Cheki, Okwonkwo Yoh yoh New style, dance style, huh! [Outro] Safisha white kama janitor Uh, uh, uh, kama janitor Safisha white kama janitor Safisha, safisha, safisha Safisha white kama janitor Uh, uh, uh, kama janitor Okwonkwo yoh, yoh! Safisha white kama janitor Yoh, yoh, yoh, kama janitor Safisha white kama janitor Safisha, safisha Run It

Sign in and select any words to explain a line.

Keep reading

SHARE

CONTRIBUTORS

Onslaught
OnslaughtAdded lyrics

Discussion

Sign in to join the discussion.