← SHENG
what does cheki mean?
1 REPLY · 0 · ASKED BY @ONSLAUGHT
ONSLAUGHT · GWIJI

Cheki means see

FROM THE MUSIC

Oh ni we, ni we nahepa kukucheki

Cheki waroro

Na tukiland cheki vile kunabadilika

Mi ukinicheki avoid me

Leo Nairobi kesho nakucheki Singapore

Mi ukinicheki avoid me

Naskia urao, cheki wasupa ndio hao hao

Njoo karibu, usinicheki toka mbali

Ukitucheki kaa mbali

Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol

Nacheki vile umemedi

Kwa Instagram nikicheki izo mapaja, ah

ADD A MEANING