WANGECHI
[Verse 1: Wangechi]
Nachapanga beats ile daily
Mi hufloat kwenye beats kama meli
Mi ni KCC sema dairy
Bread winner bila milk haiwezi
Rap game ka ni mchi mi, mi naitwa Wangechi
It's crazy naletanga kesi, opp block majambazi hawaniwezi
Saa zingine ma Adidas, Puma na ma Nikes
Niki kuja na jeshi, just know I'm never kind, that's it
Wangechi wa ma, Wangechi wamanyaru
Mum akaniuliza how do you sleep at nighti
[Hook: Domani Munga & Wangechi]
We hununua hapa sikatai, but nishai kupunguzia hamsini lini
Ningedai ninge adisia, sina idhaa hizi ndio bei za mjini
Singedai kuchachisa lakini uko chini
Singedai ati kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini

[Verse 2: Domani Munga]
Yoh, yoh
Niki toka home chini juu nimeng'ara
Chuom 32 tukidai utaparara
Baggy jeans, para na sahara
Huyu ni cuzo yako, bahati angemarwa
Huh, we mfishy saka waterpond
We ni chich, piga gotharrr womborrr
Mara ha, mara ha, mara
Hizo ni assumptions
Keja bila panya na macockroach inamaanisha hujaosa
So I need a distraction
Stepa alitoka boza, wapi Kayole junction
Hizi games nazifanya at my worst na naibuka champion
Naishuku sana heaven sitawai fika it's for the rest
ah ah, ah ah, option nieke kama caption
ah ah, ah ah, option andika caption
[Hook: Domani Munga & Wangechi]
We hununua hapa sikatai, but nishai kupunguzia hamsini lini
Ningedai ninge adisia, sina idhaa hizi ndio bei za mjini
Singedai kuchachisa lakini uko chini
Singedai ati kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai ati kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
[Hook: Domani Munga & Wangechi]
We hununua hapa sikatai, but nishai kupunguzia hamsini lini
Ningedai ninge adisia, sina idhaa hizi ndio bei za mjini
Singedai kuchachisa lakini uko chini
Singedai ati kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Singedai ati kuchachisha decidedly hapo ulikuwa chini
Sign in and select any words to explain a line.
No annotations yet. Highlight a line to add the first one.
SHARE
CONTRIBUTORS
Discussion
Sign in to join the discussion.